Jambo la kuchekesha ulilofanya ambalo ukikumbuka hata wewe mwenyewe huwa unacheka

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,918
Nakumbuka nilimtania Mwalimu wangu wa shule ya Msingi nikajificha nyuma ya fensi ya nyumbani kwetu

Kumbe aliniona bwana.

Kesho yake nafika shule tu akaanza na mimi.

Nikala viboko.

Wewe unakumbuka nini??

Karibu tusimuliane.
 
Yaani nikuwa zamu kusoma SoMo la kwanza Misa ya kwanza si niliposhuka nikasahau kuvua helmet ya dereva bodaboda nikatinga nayo mpaka kwenye eneo la kusomea SoMo ndo mtumishi akanifuata na kunikumbusha niivue.
 
Nilikua time keeper, sasa aliyenikabidhi hakunielekeza vizuri interval ya vipindi.
Ikawa nikiona muda umepita kidogo naenda kugonga kaka kipindi kimeisha. Sasa mwalimu anafundisha anashangaa kengele kwamba muda umeisha inagongwa...

Siku hiyo nikaitwa ofisini kwa waalimu, kulikua na saa za kuvaa shingoni nilipokua naelekea ofisini nikaibonyeza bonyeza ikawa inaonyesha vitu vya ajabu ajabu. Kufika pale waalimu wakaitazama wakasema itakya battery imeisha. Nikapewa 200. Ni kijijini enzi hizo tunafunga safari kwenda kijiji kingine kununua battery...wakati tunarudi ile kuokota mawe kuwinda ndege njiani, kumbe battery ilishadondoka kitambo.

Hapo ikabidi nitafute timu inipe darasa vipindi vinavyoenda zile dakika arobaini arobaini nisikosee maanake walijua kabisa saa ina battery drama hazitavumulika.
 
Haha.

Pole sana mkuu.
 
Interesting.
 
Nilikuwa timekeepr wa shule kipindi nkondarasa la tatu.
Nilikuwa simuelewi mwalimu wa hisabati so akiingia class basda ya robo saa naenda kugonga kengele anatoka. Akiniuliza nasogeza mbele muda kuwa kioindi kimeisha.
Mwalimu wa kiswahili nilikuwa namuelewa sana so kipindi chake nampa dk 80.

Break tulikuwa tunacheza mpira timu yangu ikiwa imefungwa sigongi kengele mpaka wasawazishe na wafunge la ushindi... Au kama tunaongoza wanataka kusawazisha wapinzani nagonga kengele fasta.

Kwa ufisadi huo wa muda wakajakunifukuza na fimbo za kutosha.
 
Nakumbuka ujinga tuliokuwa tunafanya tunakuja na kiporo shule saa nne badala ya kununua chai tunanunua ice cream 😂😂😂ndoa tunashushia

Baada ya hapo kurudi break ni kusinzia tu kuna siku msela alisinzia ilikuwa kipind cha math akajamba vile kuko kimya naye akawa bado kakausha kaweka kichwa juu ya dawati ticha akasem nan huyo jamaa akajamba tena 🤣🤣🤣ticha amecheka mwenyewe

Tulikuwa tunaitwa timu kulala
 
Nilikuwa timekeepr wa shule kipindi nkondarasa la tatu.
Nilikuwa simuelewi mwalimu wa hisabati so akiingia class basda ya robo saa naenda kugonga kengele anatoka. Akiniuliza nasogeza mbele muda kuwa kioindi kimeisha.
Mwalimu wa kiswahili nilikuwa namuelewa sana so kipindi chake nampa dk 80.

Break tulikuwa tunacheza mpira timu yangu ikiwa imefungwa sigongi kengele mpaka wasawazishe na wafunge la ushindi... Au kama tunaongoza wanataka kusawazisha wapinzani nagonga kengele fasta.

Kwa ufisadi huo wa muda wakajakunifukuza na fimbo za kutosha.
Duuh, naona matimekeeper tumekutana.

Nilipokua time keeper nilikua natumia saa ya kukonyeza ile baada ya muda nikanunua saa ya mshale sasa sikuhiyo nikawa nimeigeuza kucheki muda duuh. Nikasoma saa tisa kumbe ni saa sita.

Nikagonga ile ya kwenda nyumbani ebwana shule nzima ikalipuka kwa furaha darasa la kwanza walikamatiwa uwanjani maana walikua wametoka mbio hatari.

Ikabidi wanafunzi warejeshwe madarasani kipindi kiendelee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom