Jamani yahoo ina matatizo gani?????????

Jamani yahoo ina matatizo gani?????????

Mh nahisi labda hawa jamaa washazidiwa nashagaa hata kuchange password nayajibu yale maswali kwa ufasaha inagoma.
Nahisi kale kaidea ka uhuru wa kuchagua kanaclick lakin aahh hii ni email a/c ya kitambo sana cjui hata nfanyaje???????????
 
Back
Top Bottom