Tuwekane wazi! Matatizo ya uume kwenye tendo la ndoa hayatibiwi hospitali

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Nimepita kwenye uzi wa mhanga mmoja aliyechekesha wanajukwaa na kukutana na maoni ya baadhi ya watu eti "Wahi haraka ukamuone daktari". Huu ni upotoshaji

Cha kushangaza, wanawake wote ambao nimewahi kuwahoji walinithibitishia kuwa ni wazi wamewahi kukutana na wanaume wenye matatizo haya. Wengi wao walisema kati ya wanaume watano waliokutana nao, watatu wana tatizo, mmoja ndio kabisaaa (severely), huyo mmoja ndo mzima. Huo utafiti niloufanyia mkoani Mwanza, je Dar es salaam unafikiri hali itakuwa vipi?

Mimi mwenyewe nimewahi kuwa mhanga japo kwa binti mmoja mara tano mfululizo Never Forget. Binti alijibana ukutani kunitizama, na sijui ni kwanini hakuwa na haraka ya kuondoka. Alikuwa ananishuhudia nikihaha huku na huko huku nikiilaumu serikali mpaka vyakula vya kitanzania. Mdomo wa binti ghafla ulichongoka kuelekea upande mmoja kuashiria kicheko cha mvua kinafuatia. Namshukuru Mola kwa kuwa binti huyu alikuwa ni mwema, alinitia moyo na kunishauri kujifukiza malimau na tangawizi kwa sana n.k

Kuna kipindi tuliwahi kutembelea hospitali kadhaa, ila hawakuwa na dawa ya kuutibu uume zaidi ya ushauri wa mazoezi na lishe. Mara ya sita niliona hii sio haki, hivyo nikazivaa busta. Mi sielewi ni kwa namna gani nilipona hili tatizo, ingawa sometimes linajirudia, ila ni 3% kati ya hizo 100%

Kati ya vijana 10 wa kiume niliowahoji, 9 wamewahi kukumbana na matatizo haya, japo 7 kati ya hao 9 walikutana na wanawake pasua kichwa ambao waliharibu saikolojia yao kabisa. Mmoja alikabidhiwa dera na binti hadharani huku akisindikizwa na kashfa nzito nzito kulika hata Richmond

Na hii ndio sababu kubwa inayowapelekea wanaume wengi kuachàna na issue nzima ya mahusiano, kisha kuhamia kwa wale madada zetu ili kuepuka aibu. Na hii ndio sababu inayopelekea kuibuka kwa nyuzi nyingi za uwezekano wa wanaume kuacha kutongoza kabisa

Kipindi ninakua, mbususu ilikuwa ni dili. Kuuona upaja tu wa binti, mnara huooo. Nowdays wanawake wanalalamika dhidi ya uhaba wa mikuyenge, siku hizi hata kuiona tu imekuwa ni shughuli pevu, that's why nowdays mwanamke akikupenda anakuwa na maana ya kutaka kuchapwa nao. Ukimtongoza akakubali anamaanisha umchape nao

Ila yote kwa yote, hospitali hakuna dawa za kushughulikia matatizo haya ya uume
 
Last edited:

Hospitali ya Benjamini mkapa Dodoma mbona ina madaktari bingwa wa eneo hilo (Urologists) na wanatibu.
 
1.your intake is killing you hakuna kitu kibaya kinachoharibu maisha ya Nguvu kazi kubwa km unachoweka mdomoni mwako.
2.mazoezi at least hata kutembea 30 minutes per day itakusaidia sana hii Kwa wale wasiofanya kazi za nguvu hasa wamaofisini,or km unakaa sana sehemu moja.
3.kupata muda wa kupumzika on daily basis at least 6hrs Kwa mtu mzima na ndani ya wk tafuta at least one day ya kupumzika utakua more productive the next day.
4. Fanya mapenzi hii husaidia sn kwenye msukumo wa damu plus stress free kuna watu hata hujamsema vibaya ila jibu analokupa mpk unajiuliza mara mbili mbili once you have a sex it releases a lot of stuff kwenye mwili wako.
5 wengine ni genetic means kuna koo zinashida hio hapa ndio utahitaji doctor and mitishamba ikusogeze
 
Nitumie ujumbe email: chamilo_tz@yahoo.com
 
Mmmh hiyo no.5 kulikoni? Sasa huyo ukoo utarndeleaje kama wanaume wana shida kwenye hiyo sekta ya kuendeleza kizazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom