lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,209
- Thread starter
- #81
kila kitu unatunga wewe nilikwambie nifichie siri yangu umeshindwa sasa kama kwa hichi roho imekutoka mambo makubwa utaweza kuyaweka rohoni ?
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Basi shogaaa,niwie radhiiii nimekosa kifua mieeeeeee. Usifanye kunikasirikia, ulimi hauna mfupa, niliteleza tu kidogo. Sahivi mambo makubwa sisemi kabisaaaaaa, Haki nakwambiaaaa nitakusiritiri shosti yangu mie.:biggrin: