Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Sijaelewa ulichoandika ...mxxxxx

Jamani kwani nishawahi kusema hii ni course nitatoa mtihani na kugawa vyeti kwa watakao faulu. Mi nikijisikia kuansika naandika tu. Mueleww msielewe jus Kesho lazima liwake.
 
Lara, hizi story ziwe za kweli au zisiwe kweli, it doesn't matter.

Style na maneno yanayotumika katika uwasilishaji binafsi I like it.

Kuhusu huyo mwanamke wake wa zamani kukupigia umuache mtu mzima, it's something natural u know.

Lakini kwa kuwa tayari umeshahisi huruma kwa mwanamke mwenzio, then let it go, who knows may be kesho utashusha story kwamba mambo yametiki somewhere else where u didn't expect.

Otherwise I really dig ur stories, unajua tena sisi wanaume tulio mid 30s Hahahaha
 
Hi
Lara, hizi story ziwe za kweli au zisiwe kweli, it doesn't matter.

Style na maneno yanayotumika katika uwasilishaji binafsi I like it.

Kuhusu huyo mwanamke wake wa zamani kukupigia umuache mtu mzima, it's something natural u know.

Lakini kwa kuwa tayari umeshahisi huruma kwa mwanamke mwenzio, then let it go, who knows may be kesho utashusha story kwamba mambo yametiki somewhere else where u didn't expect.

Otherwise I really dig ur stories, unajua tena sisi wanaume tulio mid 30s Hahahaha

Hahaaaa! Thank you mdau for the compliment. I really don't know mambo ya kumuachia MTU goma afu bado nalitamani sio rahisi ujue. For now I fold my cards kama nitacheza au nitalamba nitajua mbele kwa mbele.
 
Aisee huyo kaa naye kibingwa akurekebishie maisha kisha pata wako wako wa ndoa finito
 
Ooyyyy komando kipensi nimekusoma niaje huhuhuuuuu meeting nyingine tuwe tunashtuana bana aaaghhh hizi habar za kula mwenyewe naumia roho kwanini kila siku wewe tu settled na Good life..... tunanyimana bahati huuuu badala ya kusonya nimefeel pain in the butt daaaaa weee komando kipensi balaa hili....

kwanza vip kazi umepata au baada ya baba p kuzingua ndio ntolee???

ayaaaaaaa hio crush na huyo mtu mzima na huyo bidada alojitokeza unampango gani nao???? bidada roho kumuuma unaanzaje kumchukua mtu mzima mwenzie??? huhuhuuuu najua huwezi muacha faster.....
kabla hatujafika mbali andaa kibubu kabisaaaaa mwisho wa siku usije ukalia na lako rohoni baada ya kuto- earn chochote afu mambo ya kurushana roho uache si unajua adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie????? lara1 let me pad out now ntarudi

the first time naona umeandika kwa kirefu, unatupiaga kaneno tu unasepa
 
Lara bana....I like da way unavyosimulia story zako darln,yani unanifurahisha sana maana sisi wanaume somtym tunazani wanawake hawajui kitu hasa hii issue ya kumblack mail chiu kwa kigezo cha kazi!!!hahahahahah
 
Uuuwwii...U've made my evening lara1
Achana na haters
 
Last edited by a moderator:
Looooooo! WE SI SHOSTI WANGU UNANIITAGA KILA MAHALI NIKUTANGAZIE KAMA CHUZI LA MOMBASAAAAAAA EEEEEEEEEH! Na mie sina choyo jamani MENDEEEEEEEEEEEEEEE huku ana waya waya. Nakutangazia kama hivo.

Wataka ubisheeeeeeeeee? Yaani dume zima, na pu.mbu zake akubali kuitwa chuzi la mombasa, choko, mende bado tu yumooooo, anangana na ku comment THUBUTUUUUUUUUUUU!! Hata iwe kwa kulipwa haweziiiiii. Ila nyie sasa kuku wa kuchora kama weye shosti langu la ukweeeeeeeee NAKUWA KAMA NIMEKUTIA NDIMUUUUUUUUUUU! Utakata mauno hatariiiiiiiiiiiiiiii. Ukiona watu wakushangaa sana ndo kujitia kuzuga kama hivo! Teeeeeeeeeeh! JIKUBALI MWAYEGO NDO ULIVOUMBWA SIJUI TAMAAAA VOVOTE VILE WE JIKUBALI TU.

Mi nishakukubali na kukukaribisha kwa mikono miwili kwenye nyuzi zangu uje uvune MIBAHASHA tani yako. Shoti mimi na wewe saihivi sikunyimi kitu, hata wanja ukitaka nakugea.:biggrin:

Dah!!Machozi yamenitoka kwa kweli lara1.Si mumalize hizo tofauti zenu.
 
WEWE NYUZI YAKO YENYE LIKES 2 IKO WAPI????????? Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nicheke kwa masikitiko mie. NAELEWA WOTE HUO WIVUUUUUUUUUUUU TUUUUUUUUUUUUU! Sababu ni 0 brain we endelea kunijazia comment kama hivo maskini ya Mungu maana ukisema ususe utaenda wapi??????????????? Na ukianzisha uzi kama una MAVI watu wanau susa suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! aNDIKA MWAYA HAPA, NDO USHANUKAAAAA, NITAKUVUMILIA TU. Hahahahaaaaaaaaaaa!

Dah!!Naona aibu mimi kwa kweli lara1
 
Hahahahaaa!! Hayo tuu shuka chini uone kazi. I HAVE A REPUTATION YA KUCHAMBA! Kuna mashoga humu bila kuitangazia biashara zao itanikalia kooni. Kama hivo nikisha watangazia roho zao zinaridhika, naendelea na mambo mengine.

Dah!!Kwa hali hii mie naomba tu isije siku hata moja nikathubutu kukukosea kwa kweli maana mmmmmmmmm kama nakuona vile lara1
 
Mchukue tu shogaaa, baki nae kabisaaaaaaaa. Mi na watu wanao tumia mambo ya pwani tofautiiiii kabisaaa. Mie mtu wa baraaaa. FAILED JF AS HOLE UMEUMBUKAJE SASA LEO kudandia treni kwa mbeleeeeeeeeee! Wenyewe hatuna habari na shoga angu mie. Nahisi limekushuka shuuu huko uliko! Hhaahhaaaaaaaaaaa!

Dah!!Malizeni tofauti zenu jamani
 
Komaaaaa Aiseeee ila icje kuwa ya akina Liyumba na vi-ist vyekundu ��
Uka Justin Timberland ocean
 
uzi umejaa uongo, acha fiksi bibi yetu

ULIITWA UJE USOME AU NDO NYEGE MSHINDO ZIMEKUBANAAAAAAAA? Mie humu ALWATAN nzi mmoja kama wewe uspisoma hunipunguziii chochote, ushawahi kuona ime ku menion japo kimakosa tu? Thubutuuuuuu yako! Haya KAFIE MBELE NITAPITIA KWENYE MAZISHI. Haahaaaaaaaaaaa!

Ukisoma mada zangu kiranga chako tu. Kutokusoma rahisi sanaaa nashangaaa mnakomaa neno neno hadi na nitaziongeza urefuuuu!
 
Uuuwwii...U've made my evening lara1
Achana na haters

Hahahahaaaaaaaaa! Haters most of them ni BORED LOSERS sasa nisipowapa attention kidgo utasikia wamejinyongaa. HUSHANGAI MTU HANIJUI, HAJAWAHI KUNIONA ILA ANAKUWA SO EMOTIONAL NA BANDIKO MPAKA UNASHANGAAAA. Mental case hizooo, nawatibia kidogo kidogo. Boea aitwe shoga na ikibidi akubali kuwa shoga ila achangie hizi mada zangu. Wanayaweza kwa kweli.
 
Back
Top Bottom