Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Katika story zake nazosoma humu huyo si wa huruma, yaani inabidi uwe na pochi nene na uvumilie kweli Mtaka cha uvunguni...

Hahahahahaaaaaaaa! Kila shetani na mbuyu wake. Il ya kiboko yangu hukuisoma nini? Nilipatikana almanusra kukopwa!
 
Oooh ! basi nitakucheck siku moja ngoja nijipange maana wallet yangu ni fifty fifty !
IF YOU WANNA FU.CK WITH THE EAGLES YOU SHOULD REALLY LEARN HOW TO FLY. Acha woga na wasi wasi. Kama mdau alivosema DRUNK, SORRY AND AFRAID IS NO WAY TO GO IN LIFE SONY! Man up and grab opportunities by their balls.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Jamani mada nzito hii ya leo, kwaresma hii muepusheni shaitwani sio lazima usome huu uzi.)

It always stary with a beautiful beginning as usual, before the unexpected happen. Ilianzia kwenye ubatizo wa mtoto wa dada yangu. Sasa huyo my sis ni mtu wa research, nikawa nimemuomba mchongo akaniambia sahivi mtu mwenye mradi wenye hela ndefu hatari ni Baba P, nikawaza nitamuanza vipi. Kama Mungu vile Kwenye ubatizo mkewe mama P akawa kaja, katika kusemeshana, ananiuliza jamani Lara vipi, harusi lini, jamani the twins are looking up to you guys afu mnaishi kisela inakuwa sio inspirational kabisaaa, blah blah blah! Nikasema hapa hapa it is now or never. Nikamwambia mie mchumba ninae sema kazi sina, nitaolewa vipi unadhani? Akasikitika, akaniambia ngoja niongee na baba P tutafanya kitu kwenye mradi wao. (Hapo hapo nilipokuwa napataka). Basi nampelemba kazi ikipatikana November nakuwa mwali. Aananiambia wanaume hawa hawa usitafute wenye hela anzeni chini. Naitikia tu. (Moyoni nasema thubutuuuuu, niingize kwenye mradi huo nile midollar basi.)

Akaja kuniambia nenda ofisini kwa baba P nishampanga kila kitu, kazi itayokuffa ni ya uhasibu pale, nikamwambia nilivo na shida mpaka kwenye makalio hata kufagia nafagia. Nikavunja kabati siku hio maana pale kuna vijana wa medical, epidemiology, statistics watu na shulezao za tropical sciences, sikutaka kabisa kupoteza fursa. Nimefika pale baba P bonge la muofisi, najiambiA i can get used this life, not bad kabisaaa. Basi akaja baba P tukasalimiana how are the twins, nini na nini kujikomba kwingiii. Ikaja sasa part ya kazi. Asinigeuzie kibao! Tobaaaaaaaaa! Eti what will you say if instead of a job, i offer you something bigger!? Like school abroad in Dubai, Uk, you name it,and maybe pay you visits a couple of times a year, and we spend some quality time together?No way, no day!Tobaaaaaaaaaa! Anamalizia na smile kabisaa hapo he made me an offer i cant refuse! Sbabu mwenyewe komandoo kipensi, ikanijia tu atomatically That will be wonderful! Perfectooooo! Unanitania lakini, hauko serious. Ananiambia how serious it is itadepend na mie,mie sio mtoto bwanaa. (Mambo a mtoto wa mwenzio mtu mzima mwenzio) Nikamwambia let me sleep on it. Nikapewa kilo moja ya nauli. Njiani mama P ananipigia vipi umefanikishaaa? Yuko anxious. Mmmmh! Nikamwambia wamesma sina experience, lakini nashukur kwa kuniunganishia dada kubwa. Akasema usijali yani huku unyumba simpi mpaka akugee hio kazi, huna experiencekitu gani, you are family, and family should look after family. Niachie mie. Nikasikitika tu wema wake utavomponzaaa.

Nikamshirikisha sista wangu bwana baba P, kaingia kingi mzima mzima, anataka kuleta uhuni wa kizamani kutumia shida yangu kuni blackmail chiu sasa nataka kumtengeneza na kumtia adabu tuheshimiane mjini. Akasikitika akasema hii ishu tuiminyie, mambo ya aibu haya tusimsambaze baba P, maana tutamuaibisha mama P. Ndo kunisimulia kumbe wale twins sio wa baba P, baba P alikuwa ulaya huko anaugua mahetani, demu wake akamuacha,akawa depressed ndo mama P kumtunzaa, akawa anamuombea mpaka akaponaaa, ndo kuoana ila alikuwa ashazaa wale twins. Akawa adopt so si tunajua ni baba yao. Ndo kurudi huku, kesho keshokutwa their bond is inseparable. Tatizo wanaume ndugu wa vinena ndo kuzeeka vibaya sasa Baba P anataka anifuge kabisaaa sio kuchepuka tu. Ndo kukubaliana yeye amwambie mama P mie kazi nimepata, na hii issue tuizike rasmi sababu mama P alifanya kwa wema. Doooooh! Nikakubali juu juu.

Tatizo shetani ana nguvu hatari siku baba P ananiita njoo upate breakfast hapa 5 star, nikianglia miandazi imenuna mule ndani, potelea potee, najiambia it will never happen again, ila bufee litanisamehe kwa kweli. Nikaenda pale nikamkuta na mtu mzima mwenzie kidogo yuko in shape na late 30s. Hana Pete mkononi. Ndo kupata kifungua kinywa pale, baba P kwenda chooni nikagewa business card fastaaa. Akachukua namba yangu. Basi baba P ananisisitiza fanya tulivoongea uachakaa home, nafujwa tu na wanaume ushuzi. Cha kwanza nikamuuliza my sis huyu mtu mzima mwingine ni nani mjini hapa ana potential gani labda?. Akaniambia hioooo bingooo. Sasa hio ndo kazi ya kufanya sasa, huyo nae mtu wa ma research ila mkewe sijui longtime fiancee alimuachaga huyo mtu mzima, ndo hajaoa tenaaa, anawapwelepweta tu wadada wa mjini. Ananisistiza hata kama huna nia wewe go along ufaidi miraha kwanza afu umuache. Nikawa nawaza iweje yule awe pale siku ile na Baba P, ni coincidence au wanataka wanichezee cheo kunifanya sandakalawe aminaaa. Mjini hapa, KOSA LA DEFENSE BAO LA KISGINO TU.

Nikawa najishauri, mtu mzima akanza text, chatting, believe it or not he surpassed my expectations. Nikawa nawazaaa, nawazuaaa. naona awkward, some how natamani nijue mbele what will happen. Nikaenda kwa comradewangu mmoja yeye watu wazima tu ndo brand yake. Huyu comrade ni some one who knows where i buried all the dead bodies. Someone with whom i have no reservation. Akaniambia i guess graduation day finally came. It is about time ujiunge na ligi ya watu wazima, utawakubali mwenyewe. We are not getting any younger, it is now or never. Just give him a chance to get to know him. Drunk, bored, sorry and afraid is no way to go through life at our age. Jiachie na mtu mzima akupe good times. Kanijazaje upepo. Nikawa naonesha ushirikiano kwa mtu mzima, kiutu uzimaaa. Mtu mzima hana haraka na mie. Nikikohoa huyu hapa, kama mwanae vile. Afu namuogopa kichiziii. Sijui umri au nini. I am not my self kabisaa. Always raising the bar kufikia standard zake. Inachoshaa. This one time akawa anataka kunisimulia what happenede na hyoex wake, ubuyu natakaaa, lakini nikacheza kama pele ku win his respect kuonesha japo kiumri umenizidi ila kiupeo tunaenda sawa sawia nika mwambia it doesnt matter, usinisimulie. Nilichukua point za ushindi si kidogo. Ila wanajali jamaniii. Whatever he lucks in age anai compensate kwenye character na ma care. Duuuh! Ila tatizo mkitoka unaona aibu kishenzi maana hata kutambulisha huyu shemeji yenu nomaaa! Ila najikazaa hivo hivo. Manakenae anasikilizia utasema nani. Afu hawakawizi maongezi ya mtoto na future. Basi mtihani kweli kweli.

He siku hio sina hili wala lile jioni kanipigia mdada. We ndo flani,ndo mie, sio kiugomvi lakini nina maongezi na wewe. Mie flani nafanya sehemu flani, mtu mzima ni mtu wangu wa mda mrefuuu. Kwa hio nikusaidiaje ITS A FREE COUNTRY:biggrin:. Nilikuwa naomba uniachie , unajua mie mkubw kwako,kama mtu mzima tumepishana kidogo, i am a single mother, hopes zangu zote za family zipo kwa mtu mzima, nampenda, najua if i love him enough he will come along. Nomba usinichukulie, please, we unaweza kumpata mtu yoyote umtakae, he is the man of my life, CRY ME A RIVER!!!!!!! Michozi kibo. nikasemangoja kwanza nifikirie manake mambo anayonipa si ya kitoto ujue, hii ligi yenu ya watu wazima kama imeninogea.

Kiukweli namhurumia mkubwa mwenzangu, mwanamke mwenzangu, manae uzeenindo wote tunaelekea, lakini pia mtu mzima aniteka roho, this crush i have on him is so huge. Ila pia naweza mpotezea mda wake na ndege wake afu uko mbele nikamchoka vie vile kimtindo mtindo nikamtemaa. Yani nawazaaa. Manake kipya hakinyemi huko mbele nitapawezaa?

Embu watu wazima wenzangu tuongee kiutu uzimaaa. (Kama imekuboaaa sonya kimya kimya angalia uspaliwe mate buree! Hahahahaahaaaaaa)
Sasa ndo nini hapo penye rangi ya Valentine, kunichekesha hivyo, mpaka wafanyakazi wenzangu ofisini wamedhani nimerukwa na akili. Sio vizuri jaamani, sisi wengine bado tupo maofisini.
Laiti ningefahamu nisingesoma huu uzi.
 
dume zimaaaaa FAILED JF MEMBER! Hahahahaaaaaaaaa! Chezea BRAIN wewe. Maskini you are reduced to nothing zaidi ya kunilamba makalio against your will kwenye nyuzi zangu! HAHAHAHAAAAAAAAAAAA! I pity you, i really do. Well you can keep kissing my black A.ss as long as necessary huenda ukaambulia mawili matatu walau na midevu yako uanzishe kiuzi kichangamke na tu like tuwili. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Napenda unavyopanick na kutoa povu! Unajaa upepo kirahisi sana!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Cc: mandella, MO11
 
Last edited by a moderator:
Apate wapi kazi? Hizi ni hadithi tu kama hadithi zingine tu! Hivi bado hujajua huyu bibi ana hadithi nyingi! We subiri baada ya siku mbili tatu anakuja na nyingine ndeeeeefu zaidi ya hii!

Wewe wa kudoda kila sekta ya maishaaa kuanzia nyuzi unazoanzisha mpaka maisha yako, 5 years i hav been working na in 3 weeks will be back to work. SASA WEWE DODA HAPO MPAKA SIKU YA KIAMA! Hahahaaaaaaaa! Ndo ushakuwa na nyota ya kuchacha. Dume zimaaa afu FAILURE! hahahahaaaaaaaaaaaa! Nacheka kwa masikitiko.

NA HAYA MABANDIKO HUU MWAKA WA 3, NA YATAENDELEA KAMA KAWAIDAAAAAAAA! YANI KA JUA LAZIMA LIWAKE KUKIKUCHAAAA HUNA JEURI YA KUZUIA. Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuu! FAILED A.SS.
 
Ngoja nisubirie mwisho wa mwezi huu nijitie kitanzi mwanaume

Wa hivi pasua kichwa sana, yaani usishangae ukiishia kunawa, wanawake complicated kama huyu mi huwa sikumbuki nao kabisa hata ukimpata ur heading nowhere.
 
Aaaaaaaah bwana na wewe usiulize maswali ya kitoto, sie watu wazima ujue, utaulizaje ndevu kwa Osama? Hahahahaaa! Baba P, namjua mkewe, wanawe mapacha, mwanae mdogo, yaani ni NOMAAAAAAAAAAA! Afu nikifikiria mkewe wema alionitendea japo uliingia shubiri mwishoni lakini aliweka nia njemaaaa.

Mie huyu Senior bachelor ndo kaniingia mpaka nikimuwaza ngozi inasisimka,vinywele vinasimama.

LOOOOOOOol, na kwaresima yote hii??What are you waiting for??option is very limited,but remember when you in ROME act like...........
 
Yaan napendaga sana uz wa lara1...niko kwenye folen mahali ..niko nacheka na sim kama mwehu...lara1 ukiwa MC unaweza tengeneza pesa ndefu balaa!lool..
 
Napenda unavyopanick na kutoa povu! Unajaa upepo kirahisi sana!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Cc: mandella, MO11

Naona umemuita CHUZI LA MOMBASA! Hahahaaaaaaaaaa! MO11 shoga angu wala usijipendekezeee, namkuwadia mabwana tunajuana wenyewe. Sasa FAILED A.H ulieshindwa kuanzisha nyuzi hata ika kikck kibahati mbaya kazi unayooooo. HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! NYUZI INARUDIWA MARA KUMI MCHANGIAJI PEKE YAKO, IMEDODA DOROOOOOOOOO! HAHAHAAAAAAAAAAAA! Hata mimi ningejisikia wivu kwa kweli, nyomi iko wapi kwa mtoto wa kike Lara 1, lazima ningekuja huku kunengenekaaaa! We nengeneka hapa ILA UTADODAAAAAAA DOROOOOOO MAISHA YAKO YOTE YA JF HATA UBADILI ID!!!!!!!!!!

Mie uzi wangu huuu sina tabu kuanikaaa, maana najikuzia jina mwenyeweee nitakuchambaaa hadi kukuche ikibidi, hapa nipo uwanja wa nyumbani.
 
Wa hivi pasua kichwa sana, yaani usishangae ukiishia kunawa, wanawake complicated kama huyu mi huwa sikumbuki nao kabisa hata ukimpata ur heading nowhere.

Sio tatizo sana mkuu kwa sisi ambao tayali tumeoa unachofanya ni ile ya "hit and run" cha msingi tu asikupige chenga ya mwili ukajikuta umepigwa na mzigo hujapewa
 
Vipi ushapata mabahasha mangapi mpaka mda huu kwenye uzi wangu? Maana huna sehemu ingine ya kukatia mauno zaidi ya hapa kwa mie shostito wako. Ama kweli mjini USHOGA kazi. Haya nambie umemuopoa nani leo?

kumbe kila ukiweka uzi wako unatafuta wanaume
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Yaan napendaga sana uz wa lara1...niko kwenye folen mahali ..niko nacheka na sim kama mwehu...lara1 ukiwa MC unaweza tengeneza pesa ndefu balaa!lool..

Aaaaaaaaaaaw! Thank you mwaya ndo maana FAILED A.SS HOLES hawaishi kunionea wivuuuuu, midume mizima na vipira vyao kumuonea wivu mwanamke. 0 BRAIN nayo kazi jamani! Looooooo!
 
Wewe wa kudoda kila sekta ya maishaaa kuanzia nyuzi unazoanzisha mpaka maisha yako, 5 years i hav been working na in 3 weeks will be back to work. SASA WEWE DODA HAPO MPAKA SIKU YA KIAMA! Hahahaaaaaaaa! Ndo ushakuwa na nyota ya kuchacha. Dume zimaaa afu FAILURE! hahahahaaaaaaaaaaaa! Nacheka kwa masikitiko.

NA HAYA MABANDIKO HUU MWAKA WA 3, NA YATAENDELEA KAMA KAWAIDAAAAAAAA! YANI KA JUA LAZIMA LIWAKE KUKIKUCHAAAA HUNA JEURI YA KUZUIA. Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuu! FAILED A.SS.
Sasa umesharudi kwenye point yangu kuwa hizi ni hadithi tu kama hadithi zingine! Wengine bado hawajagundua wanadhani ni kitu halisi kilichokutokea! Nawewe ukiwajua unacomment kama vile kimekutokea! Aisee we ni kwere! Ngoja nimalizie na kibwagizo chako!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
kumbe kila ukiweka uzi wako unatafuta wanaume
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Looooooo! WE SI SHOSTI WANGU UNANIITAGA KILA MAHALI NIKUTANGAZIE KAMA CHUZI LA MOMBASAAAAAAA EEEEEEEEEH! Na mie sina choyo jamani MENDEEEEEEEEEEEEEEE huku ana waya waya. Nakutangazia kama hivo.

Wataka ubisheeeeeeeeee? Yaani dume zima, na pu.mbu zake akubali kuitwa chuzi la mombasa, choko, mende bado tu yumooooo, anangana na ku comment THUBUTUUUUUUUUUUU!! Hata iwe kwa kulipwa haweziiiiii. Ila nyie sasa kuku wa kuchora kama weye shosti langu la ukweeeeeeeee NAKUWA KAMA NIMEKUTIA NDIMUUUUUUUUUUU! Utakata mauno hatariiiiiiiiiiiiiiii. Ukiona watu wakushangaa sana ndo kujitia kuzuga kama hivo! Teeeeeeeeeeh! JIKUBALI MWAYEGO NDO ULIVOUMBWA SIJUI TAMAAAA VOVOTE VILE WE JIKUBALI TU.

Mi nishakukubali na kukukaribisha kwa mikono miwili kwenye nyuzi zangu uje uvune MIBAHASHA tani yako. Shoti mimi na wewe saihivi sikunyimi kitu, hata wanja ukitaka nakugea.:biggrin:
 
Sasa umesharudi kwenye point yangu kuwa hizi ni hadithi tu kama hadithi zingine! Wengine bado hawajagundua wanadhani ni kitu halisi kilichokutokea! Nawewe ukiwajua unacomment kama vile kimekutokea! Aisee we ni kwere! Ngoja nimalizie na kibwagizo chako!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

WEWE NYUZI YAKO YENYE LIKES 2 IKO WAPI????????? Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nicheke kwa masikitiko mie. NAELEWA WOTE HUO WIVUUUUUUUUUUUU TUUUUUUUUUUUUU! Sababu ni 0 brain we endelea kunijazia comment kama hivo maskini ya Mungu maana ukisema ususe utaenda wapi??????????????? Na ukianzisha uzi kama una MAVI watu wanau susa suuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! aNDIKA MWAYA HAPA, NDO USHANUKAAAAA, NITAKUVUMILIA TU. Hahahahaaaaaaaaaaa!
 
Napenda unavyopanick na kutoa povu! Unajaa upepo kirahisi sana!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Cc: mandella, MO11

anatumia
images
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom