Aisee huyo kaa naye kibingwa akurekebishie maisha kisha pata wako wako wa ndoa finito
Tatizo ya story zako zinaishiaga na michambano humu.....
Ushauri matata ninaokupa ni kuwa kabla hujamvulia chupi huyo mtu mzima hakikisha amekufungulia biashara inaendelea na at least kakiwanja akununulie.
Kinyume na hapo I smell something fishy between him na baba P.
N:B , sijui huyu baba P ni yule family friend wangu? Lol!!!!
Napenda kusema kwamba kwa jinsi ulivyoandika imeboa wengi. Naomba kuwasilisha . Asante!
Ndo nilichokua nasema mda si mda WITH AGE COMES WISDOM!!!!!! Mtu mzima kumzidi akili inataka mahesabu ya hali ya juu. Napolala mimi leo yeye kapaamkia majuzi. ONLY THE TRUTH CAN SET ME FREE.
Yeye sio bozo mapema yote hii anifanye investment. Some part of his heart believes i am in for money! Basi tu anatafuta ku prove his suspicions right. In the longrun maybe anaweza fanya investment tena kwa kutaka mwenyewe sio kumhadaaa for appreciation maybe.
ALL IN ALL NDANI YA MDA MFUPI NIMEGUNDUA HII LIGI YA WATU WAZIMA NI NGUMU SANAAAA.
ULIITWA UJE USOME AU NDO NYEGE MSHINDO ZIMEKUBANAAAAAAAA? Mie humu ALWATAN nzi mmoja kama wewe uspisoma hunipunguziii chochote, ushawahi kuona ime ku menion japo kimakosa tu? Thubutuuuuuu yako! Haya KAFIE MBELE NITAPITIA KWENYE MAZISHI. Haahaaaaaaaaaaa!
Ukisoma mada zangu kiranga chako tu. Kutokusoma rahisi sanaaa nashangaaa mnakomaa neno neno hadi na nitaziongeza urefuuuu!
wazazi wako wana hasara kuwa na mtoto kama wewe, tafuta mume uolewe stress zitakuua
Unacomplicate tu , play hard to get it.
Oyiiii!!!!!!
Time is a scarcity commodity. Mtu mzima doesnt have 5 years to star a family. ASAP ndo inamuhusu. Hard to get i a long shot! I guess ill play the fools card nione tu mwishowe utakuwaje.
Mwisho utaliwa tu , kazi hutapata....
Utabakia km mlivyokutana usipokuwa smart enough.
Chuma hiki huwa nakikubali sana ila story ya kazi inahusu hapa lete mrejesho.
Sasa aliyemstari wa mbele ni baba P au mtu mzima mwenzie wa kukamata conta fasta?
Umeonaaaaaaaaaaa!