Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Jamani Watu Wazima Watamujeeeeeeee! Nimekufwaaa for Mtu Mzima. (Reader Be Aware PG 30).

Kazi nishakosaaa, huyu mtu mzima mwingine mahusiano yetu hayahusiani na kazi kabisaa, wala hajui mimi na baba P tunabiashara gani, wala hajui kama natafuta kazi. Kubakia kama tulivokutana hilo pia neno, maana napewa hela ya consumpion tu up to now. Lakini huoni pupa pupa zitanipunguzia point.

Huyo ni striker hatari alijificha kwenye kibendera cha kona, mpaka refa ashituliwe na linesman na kutaka kupiga filimbi atakuwa ashafunga gori. Mastriker wa mtindi huo ni watu wabaya sana na wengi wao wanasifa za ukimya na upole. Uje umuulize baba P siku mmoja ana maoni gani juu ya rafiki yake. Atakwambia he is one of his best gentlemen. "born again"
 
And thinking there are people in the Bongo movies' industry making good money off copying and pasting some Indian/Nigerian movies' stories while there are others who can do a little better than that just in the streets desperate for that kinda attention & paper. Ain't that a b!hct? smh
 
Wah goz arang cama arang ayanah.
Wagwan Karma a bad bitch....
 
ndiyo maana yake .. ili ule kila siku .. ukiwa unakula kiumimi utashtukiwa mapema utakosa mengi

sure, hata kwa a man, akipata matured lady, anaenjoy sana.... i tell u dating a lady aliyeko kwenye around 28 and above na ambaye yuko matured aaah u enjoy like you own this f*k world....!!
 
sure, hata kwa a man, akipata matured lady, anaenjoy sana.... i tell u dating a lady aliyeko kwenye around 28 and above na ambaye yuko matured aaah u enjoy like you own this f*k world....!!

ni kweli kabisa around that age ni perfect
 
Post zako ndefu uwe unajaribu kusummarize maana nimesoma mpaka nimechoka bila ku reach the destination
 
Kwamba sina Moral Authority ya kunyoosha kidole kwa lara 1
 
Last edited by a moderator:
......................... Akasema usijali yani huku unyumba simpi mpaka akugee hio kazi, huna experiencekitu gani, you are family, and family should look after family..........................
Hiyo ni attitude ya wanawake wengi kutumia sex kumfanya mwanaume a cave in, ndiyo maana ni wachache waliooa wasokuwa na michepuko.
 
Back
Top Bottom