Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Na wale wanaogegedana kwenye maji kule coco beach wanavaa ndom saa ngapi,ukimwi upo guys ohoo
 
Inatakiwa ule kavu ili urutubishe mayai. Tabia zenu za kukimbia majukumu ya kulea tumezichoka. Sasa unategemea watapataje watoto ukienda na mpira?
 
Kumezuka wimbi la wadada kutopenda vidume wao wavae condom huku tabia ya watu kuwa na michepuko ikiota mizizi..!

Naongea kwa uzoefu nina matukio km matatu hivi napambana na upinzani wa akina dada wakipinga kufanya ngono na condom sababu zikiwa ni kupunguza utamu wakidai ikiwa kwenye kasha hainogi, mara condom zina waletea fungus, wengine wakienda mbali na kudai hazisaidii chochote km ukimwi utapata tu kwa bahati mbaya.

Sasa nyie wadada hamjui kuwa UKIMWI na magonjwa ya zinaa yapo??? Pia vipi mimba zisizo tarajiwa..???

Ebu tuwekane sawa..! maana wengine wanadai kijoto cha sperm kina raha yake ebu tuambizane ukweli hapa....!
Hahahaha eti kijoto cha nini kina raha hahah
 
POLENI WOTE ASEE MI UKIPIGA ZOTE HIZO NAWEZA UGUA MWEZ MZIMA COZ 1 OR 2 KWA MIEZ ISIYOPUNGUA 5 OR 6 HATA 8
kumbe mimi nitakufanya uumwe hata miaka... Subiri muda ufike utakuja leta mlejesho hapa
 
NINA KILO 70 TU NA SIWEZ KABISA NA SIPENDI DUDU MIE ZANGU BIA BHANAAAAAAAA DUDU MIZINGUO HASA WAKATI MTU KASHAKUKOJOLEA HALAFU UKUTE HAJAKUFIKASHA PENYEWE WAIII CHEFUUU
nadhani unanitafuta la Rohoni... Ngoja nikurudi nitakuja huko uliko
 
Hivi wewe condom ya shilingi 100, unaiyamini kua itakulindia maisha yako? mmmmmmmh kwanza na condom havinogi mtaishia kuhubuana achana na michepuko.
Kama condomu ya ya shs 100 haiwezi kukulinda,...mbona unaliamini kufuli la mlango wako la shilingi 3000 kulinda nyumba yako?
 
Wewe tema mate chini kijana.
Unajua hizi ARV imesababisha watu kuona UKIMWI hausababishi vifo sana kama ilivyokuwa kabla ya 2003.Mtu ana HIV miaka zaidi ya 20 kwanini ahisi UKIMWI unaua kuliko blood pressure au kisukari.Hiyo ndio ilikuwa point yangu
 
Back
Top Bottom