Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Msilete mambo ya gender hapa maana binafsi naamini wadada mkikomaa hakuna kidume ataleta ubishi havai ndumu..
 
Hivi wewe condom ya shilingi 100, unaiyamini kua itakulindia maisha yako? mmmmmmmh kwanza na condom havinogi mtaishia kuhubuana achana na michepuko.
 
Jamani acha utani tutakufa km kuku wenye kideli tuweni makini...! Sometime kuchepuka ni inevitable...!
 
Hata mm nakiri nilikuwa na gf wangu lakin alikuwa apendi kutumia condom nilipo muogi akatoa hizo sababu sasa nikawa namgegenda hivyo hivyo so aka katabia sio kazuri kwakweli
 
Hao wanawake watatu waliokuletea upinzani ulivaa.....kama hukuvaa sema tuanze kuimba parapanda mapema

Kwani wanawake wote wana UKIMWI mpaka useme hivyo? Mi mwenyewe nilikuwa naogopa kupima maana nimekuwa nikifanya mapenzi na wanawake tofauti bila kondomu, kibaya zaidi wengine ni mabarmedi. Baada ya tendo huwa na hofu kwamba hapa tayar nimeunasa lakini cha kushukuriwa wiki ilopita nimepima nimekuta sina, sasa hiv nimesubiri ipite miezi 3 nirudi tena kupima. Ila kusema kama nimenusurika kwa hao wanawake nimedhamiria kuachana na ngono zembe. Mwaka huu naoa kabisa.
 
Unarudi tena kupima mkuu😕😕haya icho unachokitafuta utakipata tu😕
 
Kuoa si sabb kaka,unawexa letewa huko huko hme
 
Condom haizui ukimwi tu. Kuna ma U.T.I, GONO,Syphilis,fungus na viugojwa mshenzi vinavyotibika lakini vinatoa changamoto kwenda Hospitali au pharmacy. Vuta picha na utu uzima wako unaenda kwa doctor una declare una GONO.
 
Unarudi tena kupima mkuu😕😕haya icho unachokitafuta utakipata tu😕

Teh teh! Kwa hiyo unanishauri niishie hapo. Na kilichonifanya nipime last week ni baada kuumwa tumbo, homa kali na kuendesha sana ndo nikapats confidence ya kupima huo UKIMWI, kumbe ni typhoid na ameoba tu vilikuwa vikisumbua. UKIMWI nikakuta negative nifurahi sana aisee nusura niruke ruke mle maabara maana sikutegemea hilo jibu.
 
Maisha haya ya mipira nilishindwa since day one.. Siiamini kabisa na sijashawishiwa na mtu yeyote, nimeona ni kuendekeza uzinzi tu. Siamini kama zinakinga chochote zaidi ya kupunguza msuguano tu. Kwangu withdarwing b4 ejaculation inanitosha kuepusha mimba.
 
Kwani wanawake wote wana UKIMWI mpaka useme hivyo? Mi mwenyewe nilikuwa naogopa kupima maana nimekuwa nikifanya mapenzi na wanawake tofauti bila kondomu, kibaya zaidi wengine ni mabarmedi. Baada ya tendo huwa na hofu kwamba hapa tayar nimeunasa lakini cha kushukuriwa wiki ilopita nimepima nimekuta sina, sasa hiv nimesubiri ipite miezi 3 nirudi tena kupima. Ila kusema kama nimenusurika kwa hao wanawake nimedhamiria kuachana na ngono zembe. Mwaka huu naoa kabisa.
Siwezi kufanya ngono zembe na mwanamke ambaye hatujapima hata kama ni one night stand
 
Teh teh! Kwa hiyo unanishauri niishie hapo. Na kilichonifanya nipime last week ni baada kuumwa tumbo, homa kali na kuendesha sana ndo nikapats confidence ya kupima huo UKIMWI, kumbe ni typhoid na ameoba tu vilikuwa vikisumbua. UKIMWI nikakuta negative nifurahi sana aisee nusura niruke ruke mle maabara maana sikutegemea hilo jibu.
Mkuu,yani umetoswa mto ruaha akapiga mbizi mpaka ukafanikiwa kujiokoa mamba wasikutafune then unaamua kurudi tena uogelee..
 
Back
Top Bottom