BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Usishindane na ulipotokea mkuu. Pole sanaUliza kilichonipata jana 50 haijarudi nimemtusua mtu goli 3 bila mpira kwenda kati, ndani saa 3 kala 8 ila sasa hapa misuli ya tumbo inauma nimeamka saa 6, niko pembeni mwa sufuria la supu kugain momentum..!