Hahahaha sisikii kitu nikitumia condom hivyo huwa nashauri kuchunguza afya kwanzaSo u don bother with infections..??? Be serious cutemiss you gona lost yr cuteness..!
Hahahaha sisikii kitu nikitumia condom hivyo huwa nashauri kuchunguza afya kwanzaSo u don bother with infections..??? Be serious cutemiss you gona lost yr cuteness..!
😕😕kumbe..Hahahaha sisikii kitu nikitumia condom hivyo huwa nashauri kuchunguza afya kwanza
zikigusana inanoga!Hahahaha sisikii kitu nikitumia condom hivyo huwa nashauri kuchunguza afya kwanza
Hahaha umeonazikigusana inanoga!
Safi sana.Kwani wanawake wote wana UKIMWI mpaka useme hivyo? Mi mwenyewe nilikuwa naogopa kupima maana nimekuwa nikifanya mapenzi na wanawake tofauti bila kondomu, kibaya zaidi wengine ni mabarmedi. Baada ya tendo huwa na hofu kwamba hapa tayar nimeunasa lakini cha kushukuriwa wiki ilopita nimepima nimekuta sina, sasa hiv nimesubiri ipite miezi 3 nirudi tena kupima. Ila kusema kama nimenusurika kwa hao wanawake nimedhamiria kuachana na ngono zembe. Mwaka huu naoa kabisa.
Shida nikwamba inakuwa tamu mno..! Unaweza ukavimbiwa km nyie wa kike...!Hahaha umeona