Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,913
- 11,327
Ww hujawahi bila durex?mathematically he is dead
Ww hujawahi bila durex?mathematically he is dead
Bila peku tutapata vipi watoto?Kazi na dawa baan
Akiwa nmoja na akijua yupo pekee yake huwa mnaringa sana!Hapa ni kazi tu dadaChagua mmoja sasa ambae utakua unapekua nae
Akiwa nmoja na akijua yupo pekee yake huwa mnaringa sana!Hapa ni kazi tu dada
Karibu Kyela LatifahTeh,,aya nasubilia kuitwa shangazi
Karibu Kyela Latifah
Dar huwa nakuja kuuza mazao yangu ndiyo tenaa hadi June nikileta mchele Tandale!Lkj nyie madada wa mwambao huwa mnatucheka sana sie wa Bara kwa kukosa Swahili ya PwaniAhsante nawe kalibu dar
Dar huwa nakuja kuuza mazao yangu ndiyo tenaa hadi June nikileta mchele Tandale!Lkj nyie madada wa mwambao huwa mnatucheka sana sie wa Bara kwa kukosa Swahili ya Pwani
Niandikie basi namba chemba unifundishe Swahili ya Pwani mie jitu la BaraNitafute nikufundishe
Niandikie basi namba chemba unifundishe Swahili ya Pwani mie jitu la Bara
HayaNiandikie yakwako
Ahadi na Mungu sina ila siwezi kutafuta kifo makusudiWewe parapanda yako itaimbwa lini au una ahadi na Mungu?
Haya
Tunasema karibu siyo kalibu..Ahsante nawe kalibu dar
Tunasema karibu siyo kalibu..
Aisee nyie vijana wa siku hizi.hayo magoli unakojoa kama kuku auUnashangaa nini jana nilipiga mtu tatu bila bila mpira kwenda kati chezea marijali sisi..! Ndani ya three hrs mtu alikula 8, hapa nakunywa supu tangu asubuhi...
Hahahah...! Mkuu unashangaa possible msosi tuu..!Aisee nyie vijana wa siku hizi.hayo magoli unakojoa kama kuku au
ukioa ndio utaambukizwa vizuri tu mkeo wahuni watakugongea kama hawana akili vile bora uendelee kuwa bachela mi sijui hata bei ya condomKwani wanawake wote wana UKIMWI mpaka useme hivyo? Mi mwenyewe nilikuwa naogopa kupima maana nimekuwa nikifanya mapenzi na wanawake tofauti bila kondomu, kibaya zaidi wengine ni mabarmedi. Baada ya tendo huwa na hofu kwamba hapa tayar nimeunasa lakini cha kushukuriwa wiki ilopita nimepima nimekuta sina, sasa hiv nimesubiri ipite miezi 3 nirudi tena kupima. Ila kusema kama nimenusurika kwa hao wanawake nimedhamiria kuachana na ngono zembe. Mwaka huu naoa kabisa.
Kwani wanawake wote wana UKIMWI mpaka useme hivyo? Mi mwenyewe nilikuwa naogopa kupima maana nimekuwa nikifanya mapenzi na wanawake tofauti bila kondomu, kibaya zaidi wengine ni mabarmedi. Baada ya tendo huwa na hofu kwamba hapa tayar nimeunasa lakini cha kushukuriwa wiki ilopita nimepima nimekuta sina, sasa hiv nimesubiri ipite miezi 3 nirudi tena kupima. Ila kusema kama nimenusurika kwa hao wanawake nimedhamiria kuachana na ngono zembe. Mwaka huu naoa kabisa.