Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Unajua hizi ARV imesababisha watu kuona UKIMWI hausababishi vifo sana kama ilivyokuwa kabla ya 2003.Mtu ana HIV miaka zaidi ya 20 kwanini ahisi UKIMWI unaua kuliko blood pressure au kisukari.Hiyo ndio ilikuwa point yangu
Haya ni sawa tembeza lungu utakujaga na majibu oneday!
 
ha ha ha,sipo hivyo mkuu,nauogopa zaidi ya Ebola,na nilisemea mawazo ya watu kwanini haogopi HIV.
Kweli aisei ukimwi usikie kwa jina tu..! Kwanza ile kitendo cha kuambiwa unao unapoteza nusu siku zako ulizo stahili kuishi baada ya kuupata..!
 
Walinganisha kifo na usingizi wewe,pita tu kimya
Kama condomu ya ya shs 100 haiwezi kukulinda,...mbona unaliamini kufuli la mlango wako la shilingi 3000 kulinda nyumba yako?
 
Kondom zinanuka sana bana!Anaye niambia nivae kondom huwa namkimbia!!Hata nikivaa kufa nitakufa tu sitaishi hapa milele
 
Kweli aisei ukimwi usikie kwa jina tu..! Kwanza ile kitendo cha kuambiwa unao unapoteza nusu siku zako ulizo stahili kuishi baada ya kuupata..!
hala we si ndo ulikuwa unanizodoa jana wewe ... aisee ukimwi ni kitu ingine unaumiza sana
 
Wanao kufa wote wanakufa sababu hawakutumia kondom?Chaguoa wasichana wawili watatu una jamiiana nao hao tu!Mungu yu mwema anatulinda
Nao wanachagua wanaume wengine wawili wa ziada kufanya wawe watatu ukiongeza na wewe..! Simple mathematics first round 3x3=9, second round 9x3=27 ebu acha uzembe wewe...!
 
Back
Top Bottom