Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Teh teh! Kwa hiyo unanishauri niishie hapo. Na kilichonifanya nipime last week ni baada kuumwa tumbo, homa kali na kuendesha sana ndo nikapats confidence ya kupima huo UKIMWI, kumbe ni typhoid na ameoba tu vilikuwa vikisumbua. UKIMWI nikakuta negative nifurahi sana aisee nusura niruke ruke mle maabara maana sikutegemea hilo jibu.
Kapime mkuu usimsikilize huyo
 
Mnao fanya hizo mambo mtakuwa na mapepo...!


Pepo mbona ni kawaida tu bora niwe na pepo la kupiga 0713 kuliko wale wanaojiona wao wako perfect ila wana mapepo ya usengenyaji, unafiki na husda
 
KUPATA UKIMWI NI MPAKA ULOGWE.


Baada ya kusema hayo tuendelee na mada tajwa....
Duh kwa hali hii...sijui vijana kama kweli tutabaki salama..kama msemo wa JK TZ bila UKIMWI inawezekana
 
Back
Top Bottom