Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Jamani nyie wadada condom zinawafanyaje?

Kama kuna kaharufu ka ukweli vile ...
 
Siwezi kufanya ngono zembe na mwanamke ambaye hatujapima hata kama ni one night stand


Mimi mwenyewe nimeamua sifanyi tena huo ujinga maana nilikipatapata, hizo stress unazozipata baada ya kufanya kiuzembe znaumiza sana na kukufanya ukonde ukidhania umeshaupata tayari.
 
hata nyie wanaume mupo ambao hamtaki tumia condom na michepuko mnayo, kama ni njia kuu mnaaminiana condom ya nn
 
Ndio maana single mothers chini ya miaka 24 wamekuwa wengi sikuhizi.. Alafu wenyewe wanakuwa proud kweli kumbe ni upuuzi
 
Back
Top Bottom