Jamani nipo Dar, mbona hatutafutani?

Je, wakati unamhisi Mwita25, Nyani Ngh'abu hukumfikiria? Yaani omba Mungu awe na mabox mangi Leo asipite hapa! Akipita itakubidi tu ufanye edit kwenye original version.

mamaaa yangu.....ngoja aje akute umemuandika hivyo......
 
kama vile nakuona mwayego na KITOCHI chako hapo, mtoto mbaya weye hata kuaga, nilijifanya mtabiri nikabashiri kuwa umeenda kwenu Uchagani, kumbe kweli, Usisahau kuniletea Mdizi nikapande huko kwetu Pemba.

Niliaga mamito sema hukupita pande hizi ijumaa!ucjali mpnz nitakuletea mgomba ukapande kwenu!hv huko kwenu migomba itaota kweli?vp kisusio huwa unatumia?km vp nikufungie take away ya kisusio lol!
 
Watu wa kwanza kuja kuniona walikuwa Dena Amsi na Da' AshaDii, walikuwa amenibebea uji lakini ulikuwa na ma-Bujibuji, hata sikuupenda,




Wee Zinduna kisa cha kunianika sijui kupika uji? loh' nitapeleka wapi sura yangu hii? lol:shock:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom