Jamani nipo Dar, mbona hatutafutani?

Rejao hadi akirejea Dar Atakuta CDM Washachukua Nchi
Kazi naianzia huku. Vijana kibao wameshajipanga kuhakikisha jimbo la hapa moshi mjini linalokaliwa na kibabu cha CDM linarudi mikononi mwa CCM. DSM CDM wameprove failure kwa majimbo waliyopewa ridhaa ya kuyaongoza na wananchi. 2015 yote yanarudi yalipotoka.
 
si excellent huyo
hata maids wangu anataka kuwapangia wizara
Maids wako hamna wa kuwagusa. Inabdi tena uongeze wengine. Naona kuna na aliyejitolea kukubebea kipochi. Excellent nimeshammaliza tayari! Huoni leo kapotea kabisa hapa JF?
 
safi sana
mie nilijua hayo macho na bhange yanamyeyusha mtu yeyote

Maids wako hamna wa kuwagusa. Inabdi tena uongeze wengine. Naona kuna na aliyejitolea kukubebea kipochi. Excellent nimeshammaliza tayari! Huoni leo kapotea kabisa hapa JF?
 
Nilijaribu kuwataja lakini majina yao yakaharibu vina, nilijua tu Mwita25 atamaindi, maana hana dogo!
Mwanaume mlalamishi kaa nini sijui.............. Ghubu tu!
My sister wangu, uko vizuri! Hata hivyo ujue kuwa wadaresalaama si wakaribishaji...wanaona utawatia hasara. Shairi lako limetulia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom