Jamani nipo Dar, mbona hatutafutani?

Jamani nipo Dar, mbona hatutafutani?

swili hati
hujambo
aay jamani....
basi ngoja nije...........

Cheu baybe.....Merry Xmas.....
na ndio ikawaje tena banaaa........

Hivi dawa ya hangover ni nini jamani .......
napata picha jana ilikuwaje mama wa kwanza.
supu kamulia ndimu na pilipili kidogo inawasaidia wengi.
thanks cheusimangala,usiwe unapotea hivo yaani unaonekana jf mwanzo na mwisho wa mwaka
merry xmas to u too mupenzi,mpe hi he and she.
Wazee wa mahangover wakiamka hunywa zaidi ili kuiondosha, wengine hunywa kahawa nzito. Ninashauri hii ya mwisho.

Naona MWAKAKOGWA ya mwaka huu imeingiliwa na Wamasai, haya mnambie kisa cha kuchakachua uzi wangu....... Mnajua nitawatandikeni Henzirani
 
Wee Zinduna kisa cha kunianika sijui kupika uji? loh' nitapeleka wapi sura yangu hii? lol:shock:

Jamani Da AshaDii, sijasema umepika wewe, mie nilimaanisha alipika Msichana wako wa Kazi kwa kuwa bado ni mgeni akapika wenye Ma-Bujibuji na wewe hukuukagua kwenye Thermos ukaniletea ivo ivo. Samahani Mwayego.
 
Naweza kuongea na ww pm mdada?nataka niwe mpromota wako...kama utojari lakini...mia
 
si excellent huyo
hata maids wangu anataka kuwapangia wizara

Nani huyo anajaribu kunipindua? Ngoja nifanye mambo huku kwa babu. Akiendeleza kiherehere ataishia milembe!!
 
Back
Top Bottom