mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 990
- 3,132
Kumbe hadi nipotee!.Ukipotea siku nitakukumbuka na kukuulizia kwa uzi kama hivi
Bora nibaki hivi hivi, kuna saa na kaa hadi miezi sita sijaingia humu
Kumbe hadi nipotee!.Ukipotea siku nitakukumbuka na kukuulizia kwa uzi kama hivi
mie natafuta mtu aliyeondoka na ushungi/mtandio kipindi kileRafiki yangu wa ujanani mimi niko vipi wewe mvi zimeanza kukutoka?
Mwenzako nina wajukuu sasa hivi 🤣🤣🤣
Atakutafuta akija onlineMaana kuna mambo ya wasiojulikana.
Kama yupo kwa nini hanitafuti?
Embu nisaidie Khantwe
Kumbe hadi nipotee!.
Bora nibaki hivi hivi, kuna saa na kaa hadi miezi sita sijaingia humu
kaishapotea huyoSi wanauliziwa waliopotea
Gen z anatufukuza fikiria nimeingia tu leo pm mpya zinaandika "vp"amu Humble African yupo wapi? mmetutupa sana wakongwe
Hajanitafuta jamaniiiAtakutafuta akija online
Gen Z wanataka nini kwenye PM yako?Gen z anatufukuza fikiria nimeingia tu leo pm mpya zinaandika "vp"
Nashindwa kuelewa
Hajanitafuta jamaniii
Msikilize aunt yangu hapo.Nimetii wito wa mahakama
SawaMsikilize aunt yangu hapo.
Sawa
Usipotee sana bwana nyakati tulizonazo ni mbayaNimeitika wito
Unataka kusema kitu gani kijana?Nilikwambia binti kiziwi 😂
Unafikiri kuna Monk hapo?
Jiongeze mkuu, mbona kila kitu kiko wazi?Unataka kusema kitu gani kijana?