Ntakutafuta leo nikitoka kibaruani kubeba zegeBwana weeee kwa nini hupokei simu wala kujibu meseji?
Dah.... Ukishampata tafadhali usisahau kunitafuta na mimi...
Sasa sisi tuna makosa gani😂Dah.... Ukishampata tafadhali usisahau kunitafuta na mimi...
Hawa wafuatao huruhusiwi kuwatafuta
1. Kaizer
2. Mshana Jr
3. Bujibuji Simba Nyamaume
4. Madame B
5 Maxence Melo
6. KakaKiiza
7. paloma255
8. Mtambuzi
9. Joanah
10. Evelyn Salt
11. Kasie Bibi Matata
12. LEO TUKO HAPA PUB team
13. Watu8
Kasie, kuna prawns wako hapa na wine 🍷fanya ujitokezeDah.... Ukishampata tafadhali usisahau kunitafuta na mimi...
Hawa wafuatao huruhusiwi kuwatafuta
1. Kaizer
2. Mshana Jr
3. Bujibuji Simba Nyamaume
4. Madame B
5 Maxence Melo
6. KakaKiiza
7. paloma255
8. Mtambuzi
9. Joanah
10. Evelyn Salt
11. Kasie Bibi Matata
12. LEO TUKO HAPA PUB team
13. Watu8
Mkuu usihangaishwe na hizi game za HIDE AND SEEK.I wish siku moja nitafutwe hivi!
Miaka 10 hapa bila rafiki hata wa kuigiza!
Tengeneza id nyengine afu jiulizie mkuu......I wish siku moja nitafutwe hivi!
Miaka 10 hapa bila rafiki hata wa kuigiza!
Mbona hata Mimi sina huyo rafiki!Miaka 12!!
Umewezaje kukosa rafiki wa kuigiza?
Mbona hata Mimi sina huyo rafiki!
Eti amu ubakubaliana na huyu jamaa? Kanitaja wa kwanza why? Em nitafute tumwaibishe shetaniDah.... Ukishampata tafadhali usisahau kunitafuta na mimi...
Hawa wafuatao huruhusiwi kuwatafuta
1. Kaizer
2. Mshana Jr
3. Bujibuji Simba Nyamaume
4. Madame B
5 Maxence Melo
6. KakaKiiza
7. paloma255
8. Mtambuzi
9. Joanah
10. Evelyn Salt
11. Kasie Bibi Matata
12. LEO TUKO HAPA PUB team
13. Watu8
Ila jamaa jau sanaSasa sisi tuna makosa gani😂View attachment 3684465
Mambo, tuwe marafiki basiI wish siku moja nitafutwe hivi!
Miaka 10 hapa bila rafiki hata wa kuigiza!