Mkuu kidogo nianze kukutafuta, ulikuwa umepotea sana ingekuwa imeanza el nino ningezani tayari imefanya yake...Ni vizuri kutafutana na kujuliana hali, hapa duniani watu wanakata moto
IFike mahala wakuonee huruma na weweI wish siku moja nitafutwe hivi!
Miaka 10 hapa bila rafiki hata wa kuigiza!
I wish siku moja nitafutwe hivi!
Miaka 10 hapa bila rafiki hata wa kuigiza!
Ukiona ID miezi sita haijaonekana au kuwa 'active' inaleta walakini.Mkuu kidogo nianze kukutafuta, ulikuwa umepotea sana ingekuwa imeanza el nino ningezani tayari imefanya yake...
Okoa jahazi basiMiaka 12!!
Umewezaje kukosa rafiki wa kuigiza?
Tatizo nyota mkuu!IFike mahala wakuonee huruma na wewe
amu Humble African yupo wapi? mmetutupa sana wakongweRafiki yangu wa ujanani mimi niko vipi wewe mvi zimeanza kukutoka?
Mwenzako nina wajukuu sasa hivi 🤣🤣🤣
Okoa jahazi basi