Jamani msaidieni huyu mdada ana jini dume linalomuingilia usiku akilala usingizini

Jamani msaidieni huyu mdada ana jini dume linalomuingilia usiku akilala usingizini

Tafuta wataalam wa mambo hayo nenda kule korogwe Naskia wazur wa khabari hizo ikishindikana funga safari ya Sumbawanga huko tena lazima huyo jini ajue kwao vinginevyo watamuoa kule harusi mchana
 
Mwambie aende kwenye maombezi ni free of charge Yesu atamponya. Angalizo ; anapaswa kua mvumilivu maana anaweza kudhani akiombewa siku moja inatosha , huduma yake yaweza chukua muda mrefu/mfupi kulingana na imani/muda wa waombaji.
 
Hilo kisayansi ni tatizo la akili tu. Hakuna cha jini mahaba wala nini. Kawaone madaktari wa akili na sio waganga feki watakaokula hela yako tu
 
Namshauri huyo dada na najua hilo pepo litaondoka atakuwa huru aende kanisani pale sabasaba maonyesho kuna mchungaji katunzi atamsaidia litatoka kila jumapila saa3 had 7 ni ibada saa9 had 12 maombezi na jumanne ni siku ya kuonana na mchungaji toka asbh had jion hapohapo sabasaba uliza mchungaji katunzi wa eagt city centre.
 
Nakumisije?
Siku hizi mume wako anaitwa Remote!! wapi ben

Wifi yangu we acha tu.
Ben Saanane niko nae na pia Remote niko nae.
Wote hao ni mashemeji zako.
Sema huyu mmoja bado anapigana chapuo na Watasha mambele, ndio maana natesa na huyu wa Bongo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
ha ha..
atakuwa ashakuwa na watoto huko kuzimu saivi..mwambie amtafute Jesus.
 
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ


​

Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii

imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu


kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda

nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ?
JE KUNA MTU ANAWEZA KUMSAIDIA HUYU MDADA?

Chanzo.
Alvin Collections

Kwa Wale wenye Matatizo ya Jini Mahaba,Mtu aliye rogwa Maradhi hayaponi,Mambo yake ya kimaisha haya muendei vizuri, Mwenye ,matatizo ya nguvu za kiume, Mwenye kutaka kuolewa au kuzaa na matatizo mbali mbali

yaliyokuwa Ma-Hospiatlini hayawezi kutibika wasiliana na mimi kwa Email yangu hii hapa

fewgoodman@hotmail.com au waweza pia kuwasiliana na Ustaadh Ahmed yupo hapo Dares-Salaam namba yake ya simu hii hapa 0654552081 yeye pia ataweza kukusaidia inshallah.


Mkuu Mzizi Mkavu

Huyo mdada mbona kama alishanitumia email ya kitapeli za Dakar Senegal , ebu ngoja nireview my inbox
 
kama unaridhika kwa mkuyati wake basi we tulia tu uendelee kukunwa kipele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom