Jamani msaidieni huyu mdada ana jini dume linalomuingilia usiku akilala usingizini

Jamani msaidieni huyu mdada ana jini dume linalomuingilia usiku akilala usingizini

MziziMkavu na Mcheza Karate, hivi hilo jinni likimgonga mimba huyo dada inakuwaje?
Atazaa ka jini au ka mtu? au nusu mtu nusu jini?
Njiwa ​peperukia pande za huku utoe ilimu bhana.
Haya hufanyika katika ulimwengu wa roho coz hapo ni uhusiano wa binadamu na roho chafu. Katika ulimwengu wa roho wezakuta ana watoto tayari. Na kinachofanya asidumu na mwanaume ni the same evil spirit whch z tomenting her... Unless she surrenders her life to Christ and be delivered. Deliverence peke yake ndo itamtenganisha na spiritual husband... Nadhani belivers watanielewa zaidi
 
hivi wale popobawa ni majini magay???wanakuwa wametumwa au wenyewe nyeg,e zinakuwa zimepanda:bored:
 
Wewe hebu funguka zaidi jini anafanya kama sisi wabara au kama kule zanzibara????????then nitatoa comment nyingine
 
achana na wavulana. tafuta wanaume!
plus kwa maelezo yako, yaonesha haujafikisha miaka 29, pia story ni ya uwongo
 
DUH! ama kweli Mungu ni fundi, kwa uzuri huu sina hakika kama huyu jini mahaba atamwachia huyu binti vinginevyo atakufa na atakayemuoa baada ya kumnyang'anya
 
Aje kwenye maombi jmoc viwanja vya sabasaba eagt church kuanzia saa9 yesu atamsaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom