Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ
Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii
imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu
kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda
nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ? JE KUNA MTU ANAWEZA KUMSAIDIA HUYU MDADA?
Chanzo. Alvin Collections
Kwa Wale wenye Matatizo ya Jini Mahaba,Mtu aliye rogwa Maradhi hayaponi,Mambo yake ya kimaisha haya muendei vizuri, Mwenye ,matatizo ya nguvu za kiume, Mwenye kutaka kuolewa au kuzaa na matatizo mbali mbali
yaliyokuwa Ma-Hospiatlini hayawezi kutibika wasiliana na mimi kwa Email yangu hii hapa
fewgoodman@hotmail.com au waweza pia kuwasiliana na Ustaadh Ahmed yupo hapo Dares-Salaam namba yake ya simu hii hapa 0654552081 yeye pia ataweza kukusaidia inshallah.