Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

ukiona maramoja usitake kuona mara ya pili ukifanya hivyo HIV na DHAMBI vitakukalia mbali.
ukitokea umemona mwanamke/msichana usigandishe macho yake kwake maana kufanya hivyo utakuwa watengeneza fikra ambazo zitakufanya utake kupata nae faragha, pia ukishamtupa mgongo usitake kujua ya nyuma
Asante sana mkuu
 
Tumia sabuni Braza nakuhakikishia hutotamnani tena mwanamke
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Si Bora wewe mpaka awe mzuri,Mimi hata awe mbovu natamani[emoji45][emoji45]
 
Kama huwezi kujizuia chonga chupi la chuma funga na kufuli funguo mpe mtu akushikie.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hahah wakware ni watu hatari sana. .mashemeji zao twende. .madada binamu twende. ...Ndugu tu ambao sio wale wa karibu twende. ...

Mara nyingi hawa watu huwa ni heartless
Kuna jamaa yangu mmoja, yeye alipita hadi na dada alichangia nae baba
 
Back
Top Bottom