Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Hahaha yaani when I was 18 to 22 ilikuwa ni disaster. .mbaya zaidi ukiwa una fanya sana ufuska inakuwa kama unanukia ngono ngono basi Unashangaa wanawake wanajileta tu. ..

Yaani Neno Uaminifu lilikuwa halina nafasi kabisa katika diary yangu --.... ila baada ya kujitambua kwa kina nashukuru naweza kuitumia akili yangu vyema pale moyo unapo jaribu kunipatia mashinikizo Hasi
Hongera kwa kujitambua, umeshaoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee hatari sana na hongera piaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee hatari sana na hongera piaa
Hahaha Asante ---Ujana huu wee acha tu ukiuvuka salama ni jambo la kushukuru ---... nakumbuka nilikuwa na gombana sana na rafiki zangu kwaajili ya dada /wanawake zao. ...Yaani nilikuwa na Tabia chafu. ...kiasi kwamba nilikuwa nikikaa mwenyewe peke yangu naanza kujikosoa. ..Yaani kwa kweli nilipitia mambo ya upuuzi "na kwa wakati ule huwa nakubali kuwa nilikuwa mpuuzi -----
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.
Kama ni "MZULI" endelea tu,hiyo itakuwa sawa na mbuzi kufia kwa muuza supu.
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.

Usijali ni kawaida...chamsingi ni kujiongoza na kujizuia kadli utakavoweza

Baadae utaona kawaida tuu...

Jiepushe pia na makundi ya washkaji wanopiga sana stori za ngono zilizokithiri

N.B
Ni hali ya kawaida (hasa miaka 17 hadi mwanzoni mwa 20's ndio hukithiri)

Pia kama waangalia video za ngono,acha...zinaweza kua ndio kichocheo kikubwa
 
Mkware ni Aina ya mwanaume Ambaye anapenda wanawake sana na kushiriki nao ngono '"Yaani ngono inakuwa ni kama kilevi kwake na Yuko very proudly katika hilo

Okay, hiyo level ni opposite kwangu.

Mimi napenda ku-appreciate uzuri wa mtu, lakini huwa naishia hapo tu.

Ingawa huwa najitahidi sana kwenye kuhakikisha kazi ninayoimiliki inakuwa ya ukweli. And I only run one project at a very considerable length if not eternal.
 
Hilo sio tatizo -Ni sawa na kuiona gari nzuri. ..Kisha uka u-kubali uzuri wake

Nadhani hata jamaa alimaanisha hicho kitu, sema kaongeza chumvi.

Wakware kama ulivyosema huwa hawachagui bidhaa, wanabeba kila aina ya abiria kama daladala.
 
Back
Top Bottom