Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Unanyege so lazima utamani wadada ukipatikana wala hurudi hapa kulalama utakuja kutusifia acha upweke kumbuka kinga tu kwa afya yako.
 
Back
Top Bottom