Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Wanaume tulivyoumbwa ni kuwa tunavutiwa na uumbwaji wa wanawake,ndivyo tulivyoumbwa na sio wanaume wenzetu,sasa cha muhimu ni kujiepusha na hisia zinazokufanya utamani hao wanawake kwani mwishowe katika huko kuvutiwa kinachofuata ni kutamani na hiyo ni dhambi mbele za Mungu...
Asante mkuu
 
Aise -wewe itakuwa umeshindwa kuji -control tu. ....

Umeshawahi kusikia baadhi ya wazee wakiitwa wazee Vijana? ...yaani wanazeeka huku bado Akili zao Zina waambia bado wao ni damu changa. ...

Mara nyingi huwa wanaanza na Tabia kama hiyo ya kwako --.

Mwisho wa Balehe kwa kijana wa kiume Mara nyingi huwa ni miaka 25
Hivi mkuu balehe inaisha miaka mingapi?

Maana mimi nahisi kama hilo ni tatizo la balahe basi mimi pia haijaisha.
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.
Its called puberty utaelewa ukifika form 1.
 
Aise -wewe itakuwa umeshindwa kuji -control tu. ....

Umeshawahi kusikia baadhi ya wazee wakiitwa wazee Vijana? ...yaani wanazeeka huku bado Akili zao Zina waambia bado wao ni damu changa. ...

Mara nyingi huwa wanaanza na Tabia kama hiyo ya kwako --.

Mwisho wa Balehe kwa kijana wa kiume Mara nyingi huwa ni miaka 25

Nadhani kuna kitu hakijawekwa sawa, kutamani ni nini?

Ukimwona mwanamke mzuri ukakubali kwamba ni mzuri, nini kinachokuja kichwani?

Achana na habari ya kusema umtongoze au la, nazungumzia ile hatua ambayo unajikuta unamfanyia assessment na kukibali kwamba analipa, he hiyo hatua unaitofautisha vipi na kutamani?
 
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.
Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana Jf.
Kata hicho kidole chako cha 21, pita nacho barabarani kuwaonyesha mademu kama alivyofanya mwenzako hivi karibuni, tamaa zote zitakwisha!!
 
Aise -wewe itakuwa umeshindwa kuji -control tu. ....

Umeshawahi kusikia baadhi ya wazee wakiitwa wazee Vijana? ...yaani wanazeeka huku bado Akili zao Zina waambia bado wao ni damu changa. ...

Mara nyingi huwa wanaanza na Tabia kama hiyo ya kwako --.

Mwisho wa Balehe kwa kijana wa kiume Mara nyingi huwa ni miaka 25
Nifanye nn mkuu maana siipendi hii hali,ata mausiano siyataki kwa wakati huu
 
Mkimbize piga kabali chana pichu....

Mpelekeee dude.

Kesi ya ubakaji ikipita salama... Atakueshim na kukupenda saaana
 
Back
Top Bottom