ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,954
- 13,883
[emoji119][emoji119][emoji3]Haya buanaHahaha Asante ---Ujana huu wee acha tu ukiuvuka salama ni jambo la kushukuru ---... nakumbuka nilikuwa na gombana sana na rafiki zangu kwaajili ya dada /wanawake zao. ...Yaani nilikuwa na Tabia chafu. ...kiasi kwamba nilikuwa nikikaa mwenyewe peke yangu naanza kujikosoa. ..Yaani kwa kweli nilipitia mambo ya upuuzi "na kwa wakati ule huwa nakubali kuwa nilikuwa mpuuzi -----