Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Jamani mimi ni kijana mwenzenu ntakufa

Kwanza kabisa cute b nakuomba PM KWANGU kwa interview fupi,

Pili mi nasema kwamba mwanaume ukijiona unatamani kila mwanamke mzuri wa mbele yako basi jua wewe ni rijari we ukipata chance ya kuwapanga wale mkuu kuna watu wanazitamani hizo hisia zako,


Cc zero I Q
Asant mkuu
 
Yaani sasa mpaka mimi Wana nitia mzuka nianze kukunyapia nyapia. ...Maana najiuliza huyu cute b. .itakuwa ana kitu special ehh? Haiyumkiniki agombaniwe kiasi hiki kama Mpira wa kona
Hahahahhahhahahahahaahahah.
Hamna kitu cha uspecial sema sema labda wanaona mteremko.
 
Utakufa kabla ya siku zako, sasa kabla hayajakukuta hayo mkabidhi Mungu maisha yako awe mwokozi na kiongozi wa maisha yako
 
Tad
Kila mwanamke mzuli nitakae mwona mbele yangu natamani kushiriki nae tendo (sex) aijarishi ni umri gani.

Jamani nifanye nn ili nitoke kwenye hii stage maana binafsi siipendi hii hari na inanitesa sana mwenzenu naitaji msaada wenu wana JF.
Tafuta kazi ya kufanya,wewe utakuwa bado ni kula kulala,
 
Wewe una umri gani na ratiba zako za kila siku zipoje?
Huwa unakwenda kazini asubuh na kurud jioni Kama wafanyavyo wengine au huwa unashinda nyumbani muda mwingi?
Tuanzie hapo kwanza kabla ya kukupa ushaur
Unataka kujua kama anashinda nyumban ili ukamwambukize dengue mkuu
 
Kama huna shughuli ya kufanya Hilo jambo ni la kawaida. Ila kama unajishughulisha huo muda hautaupata. Jishughulishe baba, acha kuwaza ngono muda wote
 
Back
Top Bottom