mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Jamani nimezunguka baadhi ya mikoa ya Tanzania na nimewaona warembo wa kila aina, Lakini warembo ambao nawaona ndani ya Bongo,si mchezo jamani!
Kila ninakopita ni balaa tupu! yaani kila mmoja ni mzuri na anavutia kivyake. Pindi nimalizapo kumshangaa demu wa kulia kwangu'nikigeuka tu kushoto, mwingine huyu close yangu!.
Yaani utasema wanashushwa toka angani! Hebu nisaidieni wandugu hiki ni nini? Au ndio ushamba wangu wa mkoa?