Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,353
- 6,969
- Thread starter
- #161
Ishu za kujitambulisha anasema tusubiri kwanza mpaka akishapata chumba na furniture..Ishu ni kukaa pamoja? Basi mjaribu mwambie unataka ukienda kujitambulisha utoe na mahari kabisa mmalize. Uone atasemaje.
Ila kwa uzoefu mdogo tu, hapo kaka huyo mwanamke hakupendi yupo kwako kimsalahi tu, kuna mtu mwingine ambae ndo anampenda na wana future pamoja.

