Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,926
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Chadema ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025. Uchaguzi huu wameshashindwa kwa sababu ya sera zao za kupinga maendeleo.
TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?
Sent using Jamii Forums mobile app