Uchaguzi 2020 Jamana Printers, Wapiga kura mil.29 wa Tume ya Uchaguzi, Asilimia 84 za Ushindi wa Magufuli zinazotajwa kila mara na Ali Bashiru na Polepole

Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..

Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.

Halafu mara kwa mara unawasikia akina Al Bashir na Humphrey Polepole kila mara wakitaja kuwa Ushindi wa Magufuli katika Uchaguzi huu Utakuwa ni kwa zaidi ya Asilimia 80%, unajiuliza kivipi? Maana ni Kinyume kabisa na Run ya mchezo. Kampeni za Mgombea wa CCM zimekuwa na Organisation ya hovyo kuwahi kutokea na Mgombea mwenyewe amekuwa akitembea na highways tu bila kuwafikia Wapiga kura wa maeneo ya pembezoni, Then anafanya Kampeni siku 2 na kupumzika Wiki...anadhalilisha Wapiga kura, halaf Unaambiwa Atashinda 80%, how?

Halafu Fast foward enters Jamana Printers...

Welcome to Jamana Printers Official Website, Number One Printing Solution in Tanzania, Book Printing, Flexo Printing, Catalog Printing, Textbook Printing, Binding & Finishing, Packaging - Jamana Printers

hapa ndo possibly zilipo codes za Wapiga kura mil.29 wa Tume na Asilimia 84% za "Ushindi" wa Madaraja zinazoimbwa kila leo na akina Humphrey Polepole, Al Bashir, REDET (soon), Nape Nnauye na wengineo.

Kama Ndivyo hivyo, namwelewa Lissu anaposema nchi hii haitabaki Vile vile tena baada ya Uchaguzi huu, So Much is At stake.
Acha kupotosha; sikiliza hapa

Baseless argument. Daftari la wapiga kura liko open kwa vyama vyote kukagua. Inavyoonekana wewe hujajiandikisha na unashangaa watanzania waliojiandikisha. Kura za Mhe Magufuli ni zaidi ya 90% . Kazi alizowafanyia watanzania vinamfanyia kampeni. Hata asingefanya kabisa kampeni angeshinda kwa pengine hata kwa zaidi ya 70%. Run away from the loosing side ndugu yangu. JPM anapendwa na watanzania
 
Jiwe anajifanya janjajanja sana lakini this time around ajue hawa Wahindi wa Jamana Printers wanaenda kumwingiza CHOO CHA KIKE na atajuta kuwahi kuwa Rais wa Tanzania.....!!!!
Kwenye hii dunia ya Sasa yenye Hi-Technology huwezi kuishi kilaghailaghai kama enzi za Ujima!!
Something big is gonna happen immediately after 28 October, 2020!!! Just stay tuned.
1602524492527.png
 
Acha kupotosha; sikiliza hapa

Achana na CHADEMA, chama chenye viongozi wa mitandao ya kijamii. Huwa najiuliza kwa nini hawaendi kwa wahusika kupata ukweli kabla ya kutoka hadharani kusema uwongo?

Hilo la uchapishaji wa karatasi za kupigia kura linazika kabisa nafasi yao finyu ya mgombea wao wa Urais kupata japo kura za heshima.

Yeye mwenyewe amekwisha kubwabwaja mengi ya uongo km vitambulisho vya wajasiriamali wadogo, huduma za mama wajawazito, wafanya biashara kufunga biashara zao nk. Na haya ni moja ya makundi muhimu ya wapiga kura.

Hatujasahau kitendo cha ACT Mzalendo kumtosa mgombea wao wa Urais, au M/Kiti wa CHADEMA kuvidhihaki na kuvidharilisha vyama vya siasa vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu. Hivi navyo ni vyama vyenye wanachama na wafuasi waliochukizwa.

Je, wanachama wa CCM na wafuasi wake kudharilishwa kwa M/kiti na mgombea Urais wao? Je, wananchi walioguswa na maendeleo ya vitu kutoka kwa Serikali iliyoko madarakani?

Ati CCM inabebwa na Tume na Polisi na asipotangazwa mshindi wafuasi wake waingie barabarani? Lissu apaswa kujua ukweli kuwa hana wafuasi wa kuingia barabarani. Wafuasi alionao ni wa mitandaoni wanaompa taarifa za uwongo. Hawa ni kundi la wasiojulikana na wengi wao ni wanachama/wafuasi watiifu wa CCM, wanafanya kazi ya kumlisha matango pori.
 
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..

Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi lenyewe lilifanyika kiholela holela tu...watu wengi, Hasa Wafanyakazi hawakuweza kujiandikisha.

Halafu mara kwa mara unawasikia akina Al Bashir na Humphrey Polepole kila mara wakitaja kuwa Ushindi wa Magufuli katika Uchaguzi huu Utakuwa ni kwa zaidi ya Asilimia 80%, unajiuliza kivipi? Maana ni Kinyume kabisa na Run ya mchezo. Kampeni za Mgombea wa CCM zimekuwa na Organisation ya hovyo kuwahi kutokea na Mgombea mwenyewe amekuwa akitembea na highways tu bila kuwafikia Wapiga kura wa maeneo ya pembezoni, Then anafanya Kampeni siku 2 na kupumzika Wiki...anadhalilisha Wapiga kura, halaf Unaambiwa Atashinda 80%, how?

Halafu Fast foward enters Jamana Printers...

Welcome to Jamana Printers Official Website, Number One Printing Solution in Tanzania, Book Printing, Flexo Printing, Catalog Printing, Textbook Printing, Binding & Finishing, Packaging - Jamana Printers

hapa ndo possibly zilipo codes za Wapiga kura mil.29 wa Tume na Asilimia 84% za "Ushindi" wa Madaraja zinazoimbwa kila leo na akina Humphrey Polepole, Al Bashir, REDET (soon), Nape Nnauye na wengineo.

Kama Ndivyo hivyo, namwelewa Lissu anaposema nchi hii haitabaki Vile vile tena baada ya Uchaguzi huu, So Much is At stake.
Tazama nalikuwa usingizini naam usingizi wa maono. Tazama malaika muona vionwa akanijia na kunichukua mpaka uwanda wa juu wa nchi.

Akaniambia tazama, nami nikawaona wanaume wa nchi wenye nguvu wakiliziba tundu kwa kuweka mawe aina anuai. Baada ya kulijaza shimo kwa mawe wakaweka juu yake mfuniko mzito wa ratili kumi elfu. Mara baada ya hapo makufuli ya dhahabu yaliyozungushiwa majani ya kijani kibichi yakafungwa juu yake na makufuli hayo hakuna mwanadamu awaye yeyote atakayeweza kuyavunja.

Mara nikashtuka na kukuta mzee fulani mwenye hekima akanisogolea na kuniambia, mwanangu hiyo sio ndoto ni maono. Makufuli ni Rais Magufuli, tundu ni Tundu Lissu, majani ya kijani kibichi ni CCM, mfuniko ni kura za wananchi, mawe ya aina anuai ni mambo mema aliyotenda Rais Magufuli na kumfifisha na kumpausha Lissu na wapinzani wengine na wanaume wenye nguvu wanawakilisha wapiga kura wote.

Mwisho wa ndoto ukweli
 
Achana na CHADEMA, chama chenye viongozi wa mitandao ya kijamii. Huwa najiuliza kwa nini hawaendi kwa wahusika kupata ukweli kabla ya kutoka hadharani kusema uwongo?

Hilo la uchapishaji wa karatasi za kupigia kura linazika kabisa nafasi yao finyu ya mgombea wao wa Urais kupata japo kura za heshima.

Yeye mwenyewe amekwisha kubwabwaja mengi ya uongo km vitambulisho vya wajasiriamali wadogo, huduma za mama wajawazito, wafanya biashara kufunga biashara zao nk. Na haya ni moja ya makundi muhimu ya wapiga kura.

Hatujasahau kitendo cha ACT Mzalendo kumtosa mgombea wao wa Urais, au M/Kiti wa CHADEMA kuvidhihaki na kuvidharilisha vyama vya siasa vinavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu. Hivi navyo ni vyama vyenye wanachama na wafuasi waliochukizwa.

Je, wanachama wa CCM na wafuasi wake kudharilishwa kwa M/kiti na mgombea Urais wao? Je, wananchi walioguswa na maendeleo ya vitu kutoka kwa Serikali iliyoko madarakani?

Ati CCM inabebwa na Tume na Polisi na asipotangazwa mshindi wafuasi wake waingie barabarani? Lissu apaswa kujua ukweli kuwa hana wafuasi wa kuingia barabarani. Wafuasi alionao ni wa mitandaoni wanaompa taarifa za uwongo. Hawa ni kundi la wasiojulikana na wengi wao ni wanachama/wafuasi watiifu wa CCM, wanafanya kazi ya kumlisha matango pori.
Uende kwa mwizi kumuuliza eti unapanga kuniibia! Gademitti!
 
Acha kuandika utopolo wako, eti zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura lilikuwa holela?. Wewe kama hukwenda kuhakiki taarifa zako, ni wewe ila watanzania makini 29,188,347 waliboresha taarifa zao na wapo tayari kupiga kura.

Sio tafiti Moja wala mbili za ki mataifa zinazoonyesha ccm itashinda kwa kishindo,hivyo ukiona mgombea wenu pamoja na attention zote anazofanya kadoda usilete povu hapa jukwaani. Kazi za JPM ziko wazi, hata vibaraka na mabeberu mnao washangilia wanakubali kazi imefanyika wewe ni nani hata useme utawasha moto?

Huo moto mnaopanga kuuwasha ndio utakuwa wa kukifutilia mbali hilo genge la wahuni wa saccos, mnaozunguka kuwahadaa watanzania maskini huku mkiwachangisha pesa. Mwisho wenu umefika hiyo Oct 28.
View attachment 1596377
Litafutiliwa mbali GENGE la wahuni wa CCM, kama ilivyokua kwa Laurent Bgabgo. Muda utaamua wapuuzi ninyi msituchukulie poa kama miaka yote, sasa basi.
 
Mtaani kwangu mh diwabi wa ccm anacopy majina kwenye database ya 2015, hapo kunawalio hama , Kuna walio fariki, na kunaambao hawajahakiki
Na jiuliza, je kwanini acopy hayo majina, je anayapeleka wapi na kwa kazi gani?
 
Back
Top Bottom