Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete. Ridhiwani amekuwa mbunge toka baba yake rais. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.
Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi hamvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za ulezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.
Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata hawawezi kujiendeleza; na ndio hicho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.
Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wadogo zake ni jasho lao.
Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.