Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

Mimi sio Ridhiwani nakwambia tu matatizo ya Jakaya Kikwete; anavyolea wanalea na kudekeza watoto wa marafiki zake tofauti kabisa.

Jakaya Kikwete watoto zake wake wote ni employed professionals on merit ukitoa wa mwisho.

J.K achukulii poa malezi ya watoto zake pamoja na mihela yake kama urithi baadae, ila anataka wajitegemee kwanza.

Tatizo mitoto ya rafiki zake anaimanisha itatoboa kupitia CCM. Ridhiwani ni tofauti na Nape na January; hata kama wanapiga deal zaidi yake. Ridhiwani ana miradi yake ambayo ilibidi ajinyime kuwekeza toka alivyoanza ubunge huyo ndio Jakaya Kikwete kwa malezi ya watoto.

Ndio maana umuoni Ridhiwani akijependejeza kama Nape na January.

sawa chawa tumekusikia weka na namba yako rizwani akuite
 
Ndio ushamtaja tayari
Mi sio mwanachama, sio lia lia, mchumia tumbo! Natafuta ugali wangu kihalali na kwa jasho!

Ninaishi kwa ujira wangu halali bila chochote cha pembeni, tofauti pekee ya kimaisha inayonigusa ni pale vitu vinavyopanda bei, hili ndo huwa linanitikisa, na kwakweli limekuwa janga zaidi kwa kipindi hiki cha miezi 10, si ujira hauongezi ghafla!

Utawaona muda si mrefu, waliominyiwa mirija yao na sasa wanalamba asali.
 
Issue ipo wazi “shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza”.

Jakaya Kikwete ni mstaafu na hajiingizi kwenye siasa kwa sababu ya njaa. Wala mwanawe hanufauki kwa uwepo wake.

Ridhiwani uwaziri ni prestige tu lakini sio kimaslahi ila halipo tayari ni tajiri; siku mkijua anamiliki nini wengi mnaweza dhani hizo mali kazi pata baada ya uwaziri.

Issue inakuja kwa watu kama Nape na January hawana tangible investment awawezi kuwekeza kwenye biashara ambapo Jakaya Kikwete inabidi awabebe watoto wa rafiki zake kila siku kupata mwanya wa kuiba serikalini au ndani ya CCM.
Hebu ongeza SAUTI kidogo ndugu
 
Bila babake leo hii angekuwa Naibu Waziri? Hata huo ubunge angeupata? Tuanzie hapo kwanza.

Pengine ni kweli ana hela zake lakini kuwezi kumtenga na kufaidika kwake na system.
Ridhiwani akuupata ubunge sababu ya baba yake historia ipo wazi.

Aliekuwa mmbunge alifariki na kukawa na fitna kwenye kura za maoni mara ya kwanza kama ilivyo kwenye majimbo mengine wakati baba yake mwenyekiti wa CCM na raisi wa nchi.
 
Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufanana
Ni sawa na hadithi ya sijui mfalme gani yule ya mabinti waliofanana kila mmoja akidai yeye ndio binti mfalme ikaamuliwe utengenezwe mlo mnono halafu katikati taa izimwe; mwenye njaa taa ikiwashwa ataonekana ghafla tu jinsi anavyosakamia.

Kwa hawa vijana mawaziri Bashe na wengine wachache ndio wameonyesha kutoka kwenye shibe baada ya Magufuli.

Kwa Nape na January lipo wazi wametoka kwenye njaa kwa namna wanavyojipendekeza.

Ridhiwani ajaupigania uwaziri kapewa tu katika harakati za Bi Tozo kujipendekeza na ajawahi kumponda Magufuli ata miradi ya NHC Magufuli aliyoacha kuiendeleza kawaachia kina Halima Mdee kuropoka umuhimu wake.

Mtu alietoka kwenye njaa afichiki.
 
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.

Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete. Ridhiwani amekuwa mbunge toka baba yake rais. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.

Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi hamvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za ulezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.

Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata hawawezi kujiendeleza; na ndio hicho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.

Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wadogo zake ni jasho lao.

Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Sijakupata vizuri hapo,mara baba yake ni fisadi,mara Ridhiwani anajitegemea kwenye kutafuta,tulia uandike vizuri ueleweke unataka kusema nini...
 
Sijakupata vizuri hapo,mara baba yake ni fisadi,mara Ridhiwani anajitegemea kwenye kutafuta,tulia uandike vizuri ueleweke unataka kusema nini...
Baba yao ni fisadi, lakini akulea watoto wake wategemee ufisadi kama ilivyokuwa kwake.
 
"Mtoa posti unaanza kuuaminisha umma mapema asubuhi kabisa ukiwa na maana unatuandaa tusije kushangaa hongera zako umeshaeleweka"
 
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.

Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete. Ridhiwani amekuwa mbunge toka baba yake rais. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.

Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi hamvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za ulezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.

Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata hawawezi kujiendeleza; na ndio hicho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.

Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wadogo zake ni jasho lao.

Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Kwahiyo kuwaingiza watoto kuwa ma dragidira ndiyo malezi bora
 
Kwanini?

Hivi wewe unajua Ridhiwani ameanza kujenga big shopping kwa hela za kuunga toka lini kama unajua ilipo na baba yake, pamoja na mihela yake ajamsaidia?

Hapa kama utaki kuwananga mafisadi tegemezi kama Makamba na Nape niache.

On that note good morning
Wewe badala ya kutafuta hela zako unakuja kumsifia Rizwan ana hela wewe inakusaidi nini? Una chuki tu na January na Nape,kifupi wewe ni chawa wa Rizwan
 
Back
Top Bottom