Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

My friend, no need to INSULT OUR INTELLIGENCE. We’re not that stupid! Wewe huwezi kumzidi akili JK. Anajua anachofanya. Anajua anavyosuka mitandao inayomletea utajiri mchafu bila kuiathiri familia yake. Anawaendekeza Nape na January akiwaacha watoto wake? That’s really dumb.

Kama bado unapata tabu jinsi fortunes za Nape na January zilivyogeuzwa baada ya kudhalilishwa na Magufuli awamu ya 5, that’s tough. Kubali tu kuwa hao “vijana” ndio kwanza wamekabidhiwa hatamu kupindua legasi na kuneemesha wenye nchi yao. Kumsifu JK na familia yake na kuwaponda kina Nape is completely illogical and PETTY!

Sisi wananchi tunahuzunika sana jinsi CCM inavyoendelea kutufanya mazuzu na kufuja rasilimali za nchi kupitia patronage, nepotism, sycophancy na outright tyranny! Hao kina JK, mwendazake na team zao ndiyo kansa kubwa kwenye maendeleo ya taifa hili. Tumeweka matumaini kwenye katiba mpya ingawa tunajua itakuwa vita kali sana kufikia marekebisho ya kweli ya mifumo ya nchi hii.
" KARMA "
 
Back
Top Bottom