Na haiwezekani mtu awajibishwe kwa kelele za mitandaoniMy friend nchini ya utawala wa prof Jk akuna atakae wajibishwa, Kumbuka baruwa kutoka kwa Jk kwenda kwa gavana wa BOT ya kuidhinisha Malipo.
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Na Mimi Pinda akipona nakunya barabarani
Jaji werema kupigwa chini sio ishu, kwani hata Chenge alipigwa chini baada ya kugundulika dhahiri kuwa kachukua vijisenti, leo hii NDIO MWANDISHI WA KATIBA MPYA!! Kibongo bongo bora werema aendelee tu hapo hapo kwani anaweza kutoka hapo akapewa nafasi itakayokuudhi zaidi.
Halafu huo uchi tukiutembeza uchi utatusaidiaje.
Mbona wakati wa sakata la chenge hukutembea uchi ulitembea kwa miguu kama chenge alisalimika itakuwa werema kutosalimika!!
Mbona una kiherehere kama kuku anayetafuta kiota cha kutagia?
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Mwenye kiherehere ni wewe uliyeapa kwa masaibu ya jaji Werema. Tena ukaenda mbali zaidi na kumwita mwizi...Lakini hukuangalia dakika 45 za ITV ukamwona unayemshabikia anavyobabaika kujibu hoja... Nikwambie tu kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU....na itawakuta
Naapa kwamba ikiwa Jaji Werema atanusurika kuangukiwa na rungu kufuatia skandali ya UFISADI wa ESCROW, nitatembea uchi barabarani kutoka nyumbani kwangu Pugu hadi Kivukoni.
Nimemkamia sana Werema kuliko wahusika wengine kwa sababu ya kiburi chake na kwa kuwa ameisababishia serikali hasara kubwa zaidi ukilinganisha na mafisadi wenzake waliohusika katika skandali nzima. Sababu ya pili ya kumkamia huyu MWIZI inatokana na jinsi alivyokuwa akimkomalia Mh Kafulila na kumuita TUMBILI hadi mishipa inamtoka na macho kuwa mekundu huku akijua kwamba ameiibia serikali mabilioni ya shilingi. Yaani wananchi wanakufa kama nzige mahospitalini kwa sababu serikali haina fedha za kununulia dawa wakati tumbili huyu ameipotezea serikali mabilioni ya shilingi!
Ndugu watanzania, endapo bunge halitamuwajibisha Werema na baadaye Profesa Kikwete kumfuta kazi na serikali kumfunga jela, sote tuandamane uchi kwenda Dodoma tukalichome moto jengo la bunge. Hakuna haja ya kuwepo kwake ikiwa haliwezi kumuwajibisha huyu MWIZI.
:israel:
Mwenye kiherehere ni wewe uliyeapa kwa masaibu ya jaji Werema. Tena ukaenda mbali zaidi na kumwita mwizi...Lakini hukuangalia dakika 45 za ITV ukamwona unayemshabikia anavyobabaika kujibu hoja... Nikwambie tu kuwa MWISHO WA UBAYA AIBU....na itawakuta[/
kitendo cha kuongeza mkataba escrow kuwa miaka 20 ijayo kwa malipo ya mil 400 per day capcity charge hiyo ni dalili namba moja ya rushwa ilitumika ukitegemea wanategemea kutumia bomba la gesi la serikali kufikisha hiyo ges dar,na kugawa hizo hela inamaana hela zilikuwa za umma,zingekuwa za mwekezaji asingeweza kugawa hela bure,na kitendo cha kampuni mbia kununuliwa kwa mil 6 yenye thamani ya mabillion,ni wizi wa moja kwa kwa moja,wapi pa kutokea kuwa hawausiki
My friend nchini ya utawala wa prof Jk akuna atakae wajibishwa, Kumbuka baruwa kutoka kwa Jk kwenda kwa gavana wa BOT ya kuidhinisha Malipo.