Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

Wanaandaa maisha ya kustaafu but kwa JK hali imezidi mno...

Mtoto wake anashiriki mambo ya hovyo kiasi cha kuyumbisha serikali Leo nimewasikia live wapambe wa kina maswi wakijitapa Maswi hawezi fanywa lolote labda riz asiwepo ndo nangoja niuone ujasiri Wa JK kukubali mgogoro na bunge kwaajili ya mwanae....

Bado tunatabiri PAP&SIMBA TRUST itaangusha CCM....
Kama iliwezekana kuiingiza nchi kwenye mikataba zaidi ya 17 na uchina ambayo kwa vyovyote ilivyo ni ya maangamizi kwa nchi yetu kwa ajili ya kuokoa shingo ya mtoto huko uchina bunge ni kitu gani?
 
Katika michango yangu mingi kwenye hili swala la Escrow nimezungumzia sana kuwa hawa jamaa wamesurvive kwa vile repot ya PAC ilikuwa too weak. Pamoja na ushahidi kuwa overwhelming kuliko wa Richmond bado walishindwa kuja na report ya nguvu. Hiyo report ilikuwa ndiyo uwezo wao pamoja na kukesha. Niliwashangaa kuwakaribisha watu kama wakina Kingwang'ala badala ya design za akina Mwakyembe. Nawaelewa walitaka kupandisha profile yao kuwa vijana wanaweza but it backfired big time. FF aliiona mapema akatahadharisha watu lakini only few people understood her. Halafu kuna tu kesho atakuja dai eti Zitto ni presidential material ....................what a joke!!


PAC ilikuwa na wajumbe 25, siyo zzk peke yake. pia waliandika repoti kutokanan na repoti mbili yaani ya CAG na TAKUKURU, km repoti zote zimewasafisha wangewahusisha vipi? Ni kweli waziri wa fedha alihusika kwaani km tunasema waziri mkuu alipaswa kuwajibika basi hata wale waliokuwa wanasimamia TRA na BRERA walipaswam kuondoka.
 
umenena kweli.

Ripoti ya PAC ni dhaifu na ukiangalia ilitengenezwa ili kuilinda serikali isianguke, wakakosa sehemu ya kusimamia na sitegemei kama Rais atamwondoa Muhungo na Maswi. Moja ya hoja za kipuuzi ni kulazimisha waliopewa pesa na ruge walipie kodi utadhani kila mtu anayepokea pesa analipia kodi.

PAC walishindwa kuwa wawazi na waliogopa kugusa mambo ya msingi sana, walishindwa kutuambia kuhusu wamiliki wa PAP.

Je kampuni hii inamilikiwa na singasinga peke yake?

walishindwa kutumia Mmiliki wa Mechmar ni nani?

Walishindwa kuwataja wote waliochukua pesa stanbic

Nchi yetu, tumelala usingizi
 
Ripoti ya PAC ni dhaifu na ukiangalia ilitengenezwa ili kuilinda serikali isianguke, wakakosa sehemu ya kusimamia na sitegemei kama Rais atamwondoa Muhungo na Maswi. Moja ya hoja za kipuuzi ni kulazimisha waliopewa pesa na ruge walipie kodi utadhani kila mtu anayepokea pesa analipia kodi.

PAC walishindwa kuwa wawazi na waliogopa kugusa mambo ya msingi sana, walishindwa kutuambia kuhusu wamiliki wa PAP.

Je kampuni hii inamilikiwa na singasinga peke yake?

walishindwa kutumia Mmiliki wa Mechmar ni nani?

Walishindwa kuwataja wote waliochukua pesa stanbic

Nchi yetu, tumelala usingizi

hayo ambayo ripoti ya PAC walishindwa kuyataja yalikuwepo ktk ripoti ya CAG, TRA na PCCB???
 
watanzania ktk ubora wetu......tunaikataa kazi yote waliyofanya PAC kwa chuki zetu binafsi....

kama ripoti ilikuwa dhaifu....wabunge wa upinzani walikatazwa kuiboresha ktk michango yao au kupitia maazimio

kama ripoti ya PAC ilikuwa dhaifu...kwann msemaji wa kambi ya upinzani aliiunga mkono

kama ripoti ilikuwa dhaifu kwann wabunge hawakutoa maazimio yenye nguvu zaidi kuliko yale ya PAC

tuache chuki.... ripoti ya PAC ilikuwa thabiti...na walifanya kazi nzur

hapa anatafutwa ZZK aonekane mbaya hakuna jipya
 
Mzee ile kamati ilikuwa na watu wa dini zote sasa habari za udini zimetoka wapi , wahusika wakuu na beneficiaries wote walitajwa, sasa huyo warioba yeye mwenyewe alikuwa waziri mkuu kitu gani alilifanyia taifa hili kama si kujitafutia cheap popularity wakati huu, atulie tu

Tuzungumzie wakati uliopo sasa ya waryoba kuwa waziri mkuu tuyaache, haya pesa ziliotika BOT na kwenda stanbic na mkombozi iweje bot pesa ni halali ila zilipofika kwenye subordinate banks ziwe haramu, ni lazima tu~observe na kusimamia sheria kama ulivyo msumeno kilichutumika ni supress the weaker na kwakuwa mkombozi na stanbic ni weaker parties mbele ya BOT(Dola) basi manawanyuka mtakavyo
 
mnaoleta hoja za udini ktk ripoti ya PAC mmefilisika kifikra

ripoti ya PAC ilitokana na ripoti za CAG PCCB na TRA....sasa kipi kilichopindishwa ktk ripoti ya PAC ambacho kimo kwenye ripoti za CAG PCCB na TRA??????

Kazi ya PAC ni tofauti na ile ya kamati teule ya richmond......akina mwakyembe walifanya uchunguz lkn PAC walifanya uchambuz wa ripoti

pia PAC walipendekeza kuwajibika kwa wazir mkuu hii ambapo angejiuzulu baraza zima la mawazir lingevunjwa

wakati wa Richmond kulikuwa na msukumo mkubwa kutoka wabunge wa CCM kuliko upinzan...sitta mwakyembe ole sendeka anna malecela n.k walikuwa kidedea kuibana serikali. Escrow tulikosa msukumo huo
 
Sasa ulitegemea nini wakati kijakazi chake Judge Werema ameguswa na wizi wa mabillion.

ni kweli ripoti haijakamilika. itakamilikaje wakati mapapa (le profeseri & malkia wa nyuki) hawajakamatwa?
 
nilisema sakata la escrow halijaisha ndio linaanza, hamkunielewa.

Nilisema ripoti ya zitto ni hovyo na majungu matupu, hamkunielewa.

Nilisema, mwanasheria mahiri anazipangua hoja za zitto zote ndani ya nusu saa, hamkunielewa.

Tuendelee na sakata la escrow.


binafsi nilikuelewa na bado naamini,kwa yeyote asiyependa kujitoa akili,atakubali kuwa report ya zito ilikuwa ovyo na dhaifu sana.kwanza uandishi wake mbaya na uwasilishaji ulikuwa mbaya.report ilianghaika na watu ambao nadhani wangelikuwa mashahidi wakawa ndo wakosaji.wameachwa wahusika halisi pamoja na ukweli kwamba bado hakuna ushahidi wa kutosha dhidi ya makosa yaliyofanyika.pac inaundwa na watu wengi wenye average and low brain,wakaalika watu wa aina hyohyo.wenzetu kamatikama hzi zinakuwa na watu wenye akili ya kutosha.
 
Back
Top Bottom