Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

Hali hii huzidi kuwa mbaya sana bongo pale marais wanapokuwa wanamalizia awamu zao.

Sijui kwa nini?!

Wanaandaa maisha ya kustaafu but kwa JK hali imezidi mno...

Mtoto wake anashiriki mambo ya hovyo kiasi cha kuyumbisha serikali Leo nimewasikia live wapambe wa kina maswi wakijitapa Maswi hawezi fanywa lolote labda riz asiwepo ndo nangoja niuone ujasiri Wa JK kukubali mgogoro na bunge kwaajili ya mwanae....

Bado tunatabiri PAP&SIMBA TRUST itaangusha CCM....
 
Kabisa mkuu,halijaisha bado hili,huenda na hii ripoti ni mtego namba moja,ule wenyewe mkubwa ndio unaandaliwa sasa
 
Naona Mkuu kutajwa kwa maaskofu kumekuuma Sana.
Kwani kuniuma ni mbaya?Kinaudhi sana Hata bungeni walisema kuna Banke nyingine,hazikusemwa.Haiwezekani BOT ifanye kazi bila wizara ya Fedha....ila hakuna aliyeishikwa.Ingawa pattern ilikuwa ni uhaya kuliko ila Zitto alitaka jitahidi sana jenga Dhana fulani.Alijitahidi sana hata azimio liwe na taswira fulani km alivyokuwa akitoa makaripio kwa CDM ktk mashambulizi ya ya magaidi wa serikali Soweto Arusha.Kwa ujumla Zitto atafanya sana mambo mazuri huku akivutika ktk ubaya.
 
Huyu mzee anaka kujivunjia heshima
Mzee yupi anajivunjia heshima? Huyu hapa au Warioba?

attachment.php
 
Kwani kuniuma ni mbaya?Kinaudhi sana Hata bungeni walisema kuna Banke nyingine,hazikusemwa.Haiwezekani BOT ifanye kazi bila wizara ya Fedha....ila hakuna aliyeishikwa.Ingawa pattern ilikuwa ni uhaya kuliko ila Zitto alitaka jitahidi sana jenga Dhana fulani.Alijitahidi sana hata azimio liwe na taswira fulani km alivyokuwa akitoa makaripio kwa CDM ktk mashambulizi ya ya magaidi wa serikali Soweto Arusha.Kwa ujumla Zitto atafanya sana mambo mazuri huku akivutika ktk ubaya.

Mkuu ktk yote unaonekana unachuki mno na Zitto....

Lazima tukubali maaskofu wanastahili jitakasa ktk hili....

Usimlaumu ZZK kumwambia mdini wakati wao walichambua kile walicholetewa na CAG ...
 
Bado tunatabiri ...SIMBA TRUST itaangusha CCM....

Kwani kuna usiri gani na wamiliki wa Simba Trust?

Mtu akienda kwenye company house ya nchi ambayo hiyo kampuni imejisajili si anapata kila kitu kuhusiana na hiyo kampuni?
 
Kwani kuna usiri gani na wamiliki wa Simba Trust?

Mtu akienda kwenye company house ya nchi ambayo hiyo kampuni imejisajili si anapata kila kitu kuhusiana na hiyo kampuni?

Ndo maana ukaambiwa uuzaji na uhamishaji Wa hisa ulijaa makando kando kiasi cha kukwepa anika yote hayo...

Hata waliomleta Seth wanafichwa but wanajulikana Sana....

ESCROW ni Bomu ambalo walioshika dau wakiamua lilipua asubuhi moja nchi itasambaratika....
 
Nilitambua mapema hili na kukubaliana na FaizaFox kuwa ile ripoti iliandikwa kimipasho. Watu walimshambulia sana Pasco aliposema WaTz wengi wao ni wajinga (Wameelimika academically lakini elimu yao haijawasaidia kuerevuka).
Ingekuwa bora ripoti ya CAG and PCCB ndizo zingekuwa presented pale bungeni, asingetoka mtu.
 
Ndo maana ukaambiwa uuzaji na uhamishaji Wa hisa ulijaa makando kando kiasi cha kukwepa anika yote hayo...

Hata waliomleta Seth wanafichwa but wanajulikana Sana....

ESCROW ni Bomu ambalo walioshika dau wakiamua lilipua asubuhi moja nchi itasambaratika....

Mikwara tuu; nchi hauwezi kusambaratika wala nini. Baadhi ya watu wanatumia excuse hiyo kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.Kama waliomleta Seth tayari wanajulikana nchi itasabaratikaje wakati wahusika wanajulikana? Kuna lipi jipya ambalo watu hawajui kuhusiana na Escrow?

In the modern era of technology na kupashana habari horizontally rather than vertically (ambavyo tulizoea huko nyuma) huwezi kusema kuwa nchi itasambaratika kwa kusambaa kwa habari. Kwa sababu tayari watu wengi wanajua in and out ya Escrow na wahusika wote na kilichotokea.

Kwa maana nyingine the problem is not about not having the information, but not acting on that information. Watu wana info zote; sema zinawafanya wajisikie sad for what is going on. They aren't angry yet.

As Malcolm X once said "Usually when people are sad, they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry, they bring about a change." Ninachotaka kusema ni kuwa watu wanawajua wahusika almost wote. But they are just sad of what is happening.

They are not angry yet and, hence, they aren't about to bring any change. Ndo maana hata ukisoma maandiko ya watu juu ya hili sakata, wengi wanaonyesha kusikitika juu ya kilichotokea. They arent' angry.

But if you are sad you would like to keep things as they are. Just few things to fix na mambo yatakuwa fine as usual. Lakini kama ukiwa na hasira and really want to bring about change, then hutajali kama nchi itasambaratika. What you really want is change and change only, not repair the damn thing which have caused you loads of problems.

Ni sawa na a married woman aliyezaa na mumewe. Mume hasn't been performing well for a number of years now. He has left the woman unsatisfied. She is sad, but not angry with her husband kutomfikisha atakapo. She may want to stay with him by fixing the problem with him, but next next day she is all over him b'se he has done exactly the same thing he promised that he won't.

She is indecisive. She can't decide what to do. She doesn't know what will happen if she breaks up with him. She is scared to be alone. Will she find a man out there? She isn't sure. She has got kids to take care of na hii inamwongezea wasiwasi.

Hii imesababishwa na kuishi na mume wake kwa miaka mingi. He has been the only man in her life . She doesn't know how other men test like and she is afraid of testing them, just in case they end up testing like him. May be, they may want her just for sex, whilst she wants more in the relationship.

Lakini inaweza kufikia siku ambayo huyo mwanamke ataamka na kunusa kikombe cha cappuccino na kumwambia mumewe, enough is enough. My husband, you were magnificent, thank you very much for what you have done to me, including these children, but please we have to move on. We have got to have change.

It will be a heartbreaking divorce, but a divorce that has to be. Akishafikia stage hiyo, i.e. kuwa na hasira na ndoa yake hataogopa kama ndoa itasambaratika. Atasema potelea mbali liwalo na liwe. I have had enough. Na sitegemei mwanaume aka chama kuishi ninavyotaka. Au siyo everlenk?
 
Last edited by a moderator:
... afadhali kuna watu makini wameliona hili .... hili jambo halijachunguzwa vizuri!! .... wahusika wakuu hawajaguswa wanatafutwa wengine kutolewa kafara tu! .... hizo barua zinaonyesha mawasiliano kwenye wizara ya fedha na BoT lakini huko hakuguswa hata mmoja, ila wanataka kuwatoa kafara watu waliokua makini katika kutafuta ufafanuzi na ushauri wa kisheria .... plus wengine kisa wamepewa hela na mtu binafsi ...... haya maajabu kweli kweli!
 
Mkuu lusungo tusishangae Kikwete atakapomaliza awamu yake ataacha deni la Taifa kati ya trillion 80 mpaka Trilioni 100 kulilipa hili deni itakuwa ni kazi ambayo haitawezekana na athari yake kwa Taifa itakuwa kubwa sana.

Ngoja aje FaizaFoxy akuambie nchi bado inakopesheka na JK kafanya maajabu katika maendeleo ya nchi ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
wajumbe 19 kati ya 24 wa PAC ni kuoka chama cha Mshana Assumpta, Mariam Kisangi, na Binti Ghasia, watu wakiweka list ya hao wajumbe mmtaelewa.
 
Inashangaza kuona Waziri wa Fedha anaogopa kufuatilia uchunguzi wa mabilioni ya Uswisss umefikia wapi na kufuatilia kule Switzerland kuhakikisha pesa hizi zinarudi na watuhumiwa kupandishwa kizimbani haraka sana. Uchunguzi huu pia ulikuwa ukisimamiwa na Werema. Cha kushangaza hizi bank accounts hazijawa frozen na hawa wezi wameanza kuzichota kwa fujo. Kwa nchi ambayo sasa hivi haina pesa, pesa hizi zitapunguza ukata mkubwa unaoikabili Serikali kwa kiasi fulani.

Tanzania Post: Serikali ina njia tatu za kurejesha ‘mabilioni ya Uswisi'
Raia Mwema - Jersey yaipiku Uswisi

Ngoja aje FaizaFoxy akuambie nchi bado inakopesheka na JK kafanya maajabu katika maendeleo ya nchi ha ha ha
 
Back
Top Bottom