5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,290
- 2,431
Khekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie yeye Warioba ripoti yake iko wapi? Yeye aendelee kula pesa za walipa kodi tu, alipokuwa waziri mkuu alifanya nini kama sio uzembe wa kutisha. Kama yeye angekuwa mfanyakazi anayejali maisha ya walipa kodi leo hii Kikwete asingekuwa pale. Udhoofu wake ndio uliowaleta hawa wezi wa mchana kweupe.
Warioba anasema ni dhaifu kwa sababu kuna watu wamelindwa akina Sada Mkuya na Abdalla kigoda wote hawa walipaswa kuwajibishwa