Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

Jaji Warioba: Ripoti ya PAC ni dhaifu

Nilisema sakata la escrow halijaisha ndio linaanza, hamkunielewa.

Nilisema ripoti ya Zitto ni hovyo na majungu matupu, hamkunielewa.

Nilisema, mwanasheria mahiri anazipangua hoja za Zitto zote ndani ya nusu saa, hamkunielewa.

Tuendelee na sakata la escrow.
 
Mkuu Mingoi ungalisoma kwanza habari husika ukamhukumu kutokana na hoja zake alizotoa ingalionyesha u-GT zaidi! Vinginevyo kihivi ni "Ghasia style"!

Asome nini wakati umetuwekea kichwa cha habari na habari yenyewe imepigwa password? Ndio maana kila mtu ana guess opinions za Warioba.
 
Sasa ulitegemea nini wakati kijakazi chake Judge Werema ameguswa na wizi wa mabillion.

Kumbe hiki kizee ndio maana huwa mnakikata mitama sasa nimeshaelewa kama ni kweli wamemnukuu Warioba hilo gazeti na hawajamrisha maneno basi huyu Mzee ni mjinga na hana busara na hajui kusoma halama za nyakati na si kila ajenda ni ya kuidandia kuitolea maneno, Tutashindwa kumtofautisha na Renatus Mkinga.
 
dah i feel sorry for u and warioba
a person who can't find any positives in any situation always defensive

its a sign of depression and serious mental disorders

don't get carried away with emotion babu zitto and his kamati nawapa credits what u wud u do in zitto place??

hii lugha ya malikia ni tatizo kwako, bahati mbaya zaidi hujui kuwa hujui
 
Mzee yupi anajivunjia heshima? Huyu hapa au Warioba?

attachment.php
Hii kali sana!
 
Yerricko bado una visa na ZZK hata ukilala unamkumbuka kweli ZZK kwako ni zaidi ya adui! Hivi Yerricko ndugu yangu nini kikubwa kakukosea ZZK?

ZZK amekufanya nini cha kukosa hata kumuona? Nasikia ukimwona kwa TV unazima kweli? Shida kubwa ni nini?

Jifunze kusamehe kwani hata vitabu vinasema samehe Mara sabini"
 
Hongera mzee wetu na Mungu akulinde,binafsi hata mie nimeandika mda wote hapa dhidi ya ripoti hii ya kizandiki ila watu walifikiri Tibaijuka kanipa mgao,tatizo la baadhi ya watu hapa ni kuacha kujiuliza maswali ya msingi kabisa badala yake wanawajadili watu ili wapate kuwahusisha na wanaotajwa eti kisa wanatoka sehemu moja,kabila moja ama dini moja,huu ni udhaifu mkubwa ..daima nasema,Pac ama ilihongwa ama ilikosa umakini,it's a shame kumsafisha gavana,ukamsafisha waziri wa fedha na ukaacha kumsema rais eti kisa nchi itayumba ..kwahiyo hata rais siku akigundulika kahamisha BoT nzima ataachwa eti kisa nchi isiyumbe? walikomaa sana kuongea mdau wa 30% huku wakifunikafunika yanayomhusu mdau wa 70% kwa faida ya nani? hii ripoti imekaa kiujana ujana sana ila haina mantiki na ukomavu wa uchambuzi
 
Kumbe hiki kizee ndio maana huwa mnakikata mitama sasa nimeshaelewa kama ni kweli wamemnukuu Warioba hilo gazeti na hawajamrisha maneno basi huyu Mzee ni mjinga na hana busara na hajui kusoma halama za nyakati na si kila ajenda ni ya kuidandia kuitolea maneno, Tutashindwa kumtofautisha na Renatus Mkinga.
Kwahiyo ripoti ya Kamati ya Zitto ilikuwa sahihi kutotaja majina ya benki nyingine ambako fedha za ESCROW zilipelekwa,Kutokumhusisha wazirmi Mkuya na kutokumgusa kabisa rais mwenyewe?
 
Mkuu ktk yote unaonekana unachuki mno na Zitto....

Lazima tukubali maaskofu wanastahili jitakasa ktk hili....

Usimlaumu ZZK kumwambia mdini wakati wao walichambua kile walicholetewa na CAG ...

Mkuu lazima tukubali ripoti ilikuwa na udini sana ile itawatajaje viongozi wa dini wengine wakaachwa
 
Mzee warioba naona kachanganyikiwa sasa, udhaifu wa ripoti ya PAC ukwap? na wakati wao wametohoa data za CAG? Hebu acheni kukatisha watu tamaa.

Huwezi kumwingiza mtu kichwa kichwa bila kumonyesha jinsi alivyo husika la Si hivo yatakuwa ni majungu na kwa kufanya hivyo report yote ita kosa uhalili wake
 
Kwahiyo ripoti ya Kamati ya Zitto ilikuwa sahihi kutotaja majina ya benki nyingine ambako fedha za ESCROW zilipelekwa,Kutokumhusisha wazirmi Mkuya na kutokumgusa kabisa rais mwenyewe?

Kuna tofauti kubwa kati ya kamati teule ya bunge kama ile ya Mwakyembe na hii kamati ya kudumu ya PAC wao waliangalia findings za CAG, TAKUKURU NA TRA. na kutoa mapendekezo, ingeundwa kamati teule ya Bunge baba yenu Kikwete na familia yake wangeshakimbia nchi hii.

Kama huelewi hapo pole sana.
 
Kumbe hiki kizee ndio maana huwa mnakikata mitama sasa nimeshaelewa kama ni kweli wamemnukuu Warioba hilo gazeti na hawajamrisha maneno basi huyu Mzee ni mjinga na hana busara na hajui kusoma halama za nyakati na si kila ajenda ni ya kuidandia kuitolea maneno, Tutashindwa kumtofautisha na Renatus Mkinga.

Yupo sahihi Waryoba tusipende kusikia yale tunayopenda tu
 
Mkuu lazima tukubali ripoti ilikuwa na udini sana ile itawatajaje viongozi wa dini wengine wakaachwa

Mzee ile kamati ilikuwa na watu wa dini zote sasa habari za udini zimetoka wapi , wahusika wakuu na beneficiaries wote walitajwa, sasa huyo warioba yeye mwenyewe alikuwa waziri mkuu kitu gani alilifanyia taifa hili kama si kujitafutia cheap popularity wakati huu, atulie tu
 
naungana na warioba kwa hili ile riport ni ya kufungia visheti
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kamati teule ya bunge kama ile ya Mwakyembe na hii kamati ya kudumu ya PAC wao waliangalia findings za CAG, TAKUKURU NA TRA. na kutoa mapendekezo, ingeundwa kamati teule ya Bunge baba yenu Kikwete na familia yake wangeshakimbia nchi hii.

Kama huelewi hapo pole sana.
Mkuu kwa taarifa tu,Mengi yaliyokuwamo kwenye ripoti za CAG na PCCB yaliondolewa(yalichakachuliwa) ili kuwalinda baadhi ya wakubwa.Ndiyo maana wenye akili zao wameamua kujitokeza kuikosoa.
 
Nchemba Aliwachachamalia Wez Walipe Kodi Lakin Kwakua Mkwanja Ukipitishwa Mnadai Hakuwa Waziri Sasa Vipi Kuhusu Bi Saada Bint Machozi Alichovuta Mbona Zubery Kabwe Hajaandika
 
Back
Top Bottom