Ripoti ya PAC ni dhaifu na ukiangalia ilitengenezwa ili kuilinda serikali isianguke, wakakosa sehemu ya kusimamia na sitegemei kama Rais atamwondoa Muhungo na Maswi. Moja ya hoja za kipuuzi ni kulazimisha waliopewa pesa na ruge walipie kodi utadhani kila mtu anayepokea pesa analipia kodi.
PAC walishindwa kuwa wawazi na waliogopa kugusa mambo ya msingi sana, walishindwa kutuambia kuhusu wamiliki wa PAP.
Je kampuni hii inamilikiwa na singasinga peke yake?
walishindwa kutumia Mmiliki wa Mechmar ni nani?
Walishindwa kuwataja wote waliochukua pesa stanbic
Nchi yetu, tumelala usingizi