Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,645
Asante mkuu ,pia namkumbuka sana Mtikila alivyo push Bill of human rights ,hawa wazee wawili wamefanya kazi kubwa sanaAlikufa zamani sana. Ndio wameshape judiciary hapa tz . Tanzania Law Report imejaa wao
Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi