kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Kwa maana hats makamanda wenu nao ni vibogoyo?Mahakama kibogoyo, Bunge kibogoyo.....huzaa taifa la Wenda wazimu.
Kwa maana hats makamanda wenu nao ni vibogoyo?Mahakama kibogoyo, Bunge kibogoyo.....huzaa taifa la Wenda wazimu.
Lema ndio nani hata amshughulishe Jaji? He is a criminal. Over.Kuna jambo hatari linaendelea nchini na limejidhihirisha katika kesi ya Lema. Mhimili wa utoaji haki umekuwa inflitrated na idara nyingine ya serikali.
Tangu Ijumaa mpaka leo tunachokiona katika kesi hii kinafanya tuwe na mashaka. Jaji Mkuu ingilia jambo hili ili kulinda heshima kwa mhimili huu ambao ndio tegemeo la kupatia.Lema ahukumiwe kwa haki kwa kosa alilotenda lakini hizi figisu, zinatia mashaka.