Jaji Mkuu ingilia kati hili la Lema

Jaji Mkuu ingilia kati hili la Lema

Mboga Ya Nyapara Hiyo, Acha Nyampala Waenjoi Maisha - Kiboga Cha Lema Chaliwa Mubashara Kisongo

Watoto wa mama mkisikia magereza mnajua lazima uliwe kiboga, kwa taarifa yako kuliwa kiboga ni nyege zako tu na urembo wako. Hizo ni story za vijiweni kwenu nyie watoto wa mama ambao hamjawahi kwenda magereza. Magereza ukienda ni sehemu kama sehemu nyingine tu, unachokikosa na uhuru wako wa kwenda unapopataka tu, lakini huko kuna elimu kubwa sana ya maisha na wala hiyo sijui kupigwa au kuliwa kiboga mnatishiwa nyie watoto wa masaki.
 
Kuna jambo hatari linaendelea nchini na limejidhihirisha katika kesi ya Lema. Mhimili wa utoaji haki umekuwa inflitrated na idara nyingine ya serikali.

Tangu Ijumaa mpaka leo tunachokiona katika kesi hii kinafanya tuwe na mashaka. Jaji Mkuu ingilia jambo hili ili kulinda heshima kwa mhimili huu ambao ndio tegemeo la kupatia.Lema ahukumiwe kwa haki kwa kosa alilotenda lakini hizi figisu, zinatia mashaka.
HAKI HUINUA TAIFA
 
Kuna jambo hatari linaendelea nchini na limejidhihirisha katika kesi ya Lema. Mhimili wa utoaji haki umekuwa inflitrated na idara nyingine ya serikali.

Tangu Ijumaa mpaka leo tunachokiona katika kesi hii kinafanya tuwe na mashaka. Jaji Mkuu ingilia jambo hili ili kulinda heshima kwa mhimili huu ambao ndio tegemeo la kupatia.Lema ahukumiwe kwa haki kwa kosa alilotenda lakini hizi figisu, zinatia mashaka.

Mimi nashauri Timu ya UKAWA ifanye fasta kwenda kuonana na Rais Mteule wa Marekani Bw. DONALD TRUMP ili atakapo apishwa aimulike na Tanzania zikiwemo Uganda na Zimbabwe! Trump ameahidi kuwa anataka kuona Demokrasia ikitamalaki duniani kote!Kwenye list ya madikteta Museveni na Mugabe aongeze jina la JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!!!!( Soma nyekundu kujua msimamo wa Trump).

15 NOV, 2016
US: I Will Lock Mugabe, Mukukuseveni In Prison – REPORT | ZimEye

donald-trump.jpg

Donald Trump
Robert Makasi | UgandaNews| During his campaign Trump vowed to deal with two of Africa’s strongmen, Presidents Mugabe and Museveni. We republish the article below;

By Andrew Lieberman, Washington DC| US business mogul Donald Trump has put Zimbabwean President Robert Mugabe and Ugandan President Yoweri Museveni, on notice, vowing to deal with them ruthlessly when he ascends to Presidency.

Speaking while addressing war veterans in Washington, Trump warned other like minded dictators who want to die in power, that their time is up and its just a matter of time before they face justice.

“I
want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”
Mugabe and Museveni must be put on notice that their days are numbered and that I am going to arrest them and lock them in prison. If the past American administrations have failed to stop these two despots, I will personally do it”

Mugabe and Museveni have given the world enough troubles and its about time someone puts to an end all these madness for peace to prevail” said Trump who seemed unapologetic.

If Obama fears them, I will never fear them. If clinton and Bush feared them, If the Pope kneels before them, I will never be reduced to that level. I will never be cowed. I promise to clean all the political mess around the world and promote international justice”
added Trump. – Uganda News
 
Ninaomba wadau acheni nature ichukue nafasi.Ninaamini muhimili no 1 mtukufu,muheshimiwa,malaika,hakosei anapo ingilia mihimili minginge,itekeleze maagizo yake.Sasa basi MUNGU anayetuagize tumsaidie kumuombea hadhihakiwi.Ninachoamini mateso ya mbuge Lema hayatapita bure,yana damu ya ukombozi la taifa hili kwani ukombozi wowote haupatikani kirahisi vile.Mandela alivumilia mateso makubwa sana lakini MUNGU alimuinua.Ninaomba tufunge na kuomba juu ya Lema
 
Lema hana kosa hata kidogo isipokuwa miungu watu wasiotaka kusemwa kwa lolote wanamtwika mzigo wa dhambi asiyokuwa nayo. Hivi kama Lema kwa mfano angeona maono ya wakubwa kushinda uchaguzi wa 2020 kwa vishindo wangemchukulia hatua gani?
Lema hana kosa, kosa ni watu, kama wewe, mnaompa kichwa kigumu, huku mnakesha kwenye mitandao na viongozi wenzake wakila bata na kuku na familia zao.

Kama mnapenda kweli mwambie afanye siasa za ustaarabu. Hata Marekani, mnakojivunia demokrasia, matamshi ya Rais Mteule hadi leo yameanzisha maandamano ya kupinga kuchaguliwa kwake.

Vyama vya upinzani ni wakati wa kujifunza siasa rafiki.
 
Kwani mafisadi wako mtangwa gani zaidi ya loumoumber?
 
Tatizo wewe na mkeo mnaliwa kiboga na mume mwenza ndio maana unakuja kulia humu jamvini.
Uyu jamaa anakera cjui sababu ye analiwa Kiboga bac anajua kila mtu tuu
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Umeona Sugu,Nasari,Prof J,Mnyika,Zitto,Silinde,Heche wanafanya ujinga anaoufanya Lema ?
Kwasabab hawajapelekewa RC mwenye akili za kitoto toto kama LIGUMBO, Wangepelekewa lazma na wao wangekinukisha. Wakuu wao wa Mikoa wanajua nn maana ya uongozi na wanashirikiana na upinzani kwenye maendeleo, huyu gimbi yeye ni kulumbana tu na akina lema
 
Back
Top Bottom