Jaji Mkuu ingilia kati hili la Lema

Jaji Mkuu ingilia kati hili la Lema

kwa hapa kwetu mhimili mkuu kuliko yote ni ule unaogawa hela yaani serikali. usifanye mchezo. rais ni mtu mkubwa anaweza kuteua hata jaji mkuu mpya mkimzingua....
 
JM hana Mamlaka kuingilia ushauri lilipo ktk Mahakama.Ni vizuri tukafahamu hata mipaka ya JM.

Na hiki kilio kila kukicha cha maagizo toka juu,huko juu wapi ni 'mbinguni'au

Huyo Mh Lema shauri lake linatekelezwa kwa mujibu wa taratibu wa shauri lake.

Ila kwa sababu linakuzwa sana na vyombo vya habari na mitandao basi kila kitu anachofanyiwa Mh Lema anaoneka anaonewa wakati si kweli.

Mahakama inatenda Haki kwa kila mwenye shauri ndani ya mahakama tunaiamini na Mh Lema atapata Haki yake.
 
Alafu ndoto za rumande nahisi huwa zinatisha, mara ukisogea mbele lazima unaguswa na vinyweleo vya kifua cha mtu ukisonga nyuma hivyo hivyo. Hakuna jaji mkuu yeyote anayeweza kuingilia sakata ili kujichafua maana hakuna nchi dunian ambayo mtu anaweza kuota juu ya kufa kwa rais alafu akashangilia na kusambaza ujumbe akaachwa hivi hivi, hivyo basi ngoja akabebe ndoo kwanza , na akitoka uko kama atabahatika kutoka, atakuwa mnyenyekevu, kwanini asijifunze siasa za ustaarabu kama, Mbowe, Lowassa na Mnyika?
ukiwa period ndo unaropoka hiv?
 
Umepata, zungusha mikono na kashike UKUTA
hahaha mkuu izo tabia za kushikishwa ukuta ni za baba ako tu, usidhani mze wako na ww mnavofanywa basi ni wanaume wote, hapana, hako katabia mnako kwenye familia yenu tuu, ww na baba ako. Pole sana mkuu, jitahidi uache na usimuige budda ako.
 
Labda Jaji Mwalusanya, Lugakingira,

Ongeza na Jaji Nyalali. Ripoti yake ya kufumua sheria za Nyerere, pamoja na ile ya kuanzisha vyama vingi, zilikuwa gutsy and groundbreaking.

Halafu sasa cha ajabu, kina Mwalusanya, Lugakingira na Nyalali walikuwa wanatunisha kifua cha mahakama wakati ule wa chama kimoja cha Nyerere na wameteuliwa na Nyerere. It took tremendous guts, I mean, the men had brass balls.

Hawa wa sasa wanaufyata wakati kuna vyama vingi, uhuru umepanuka, na marais wa leo are less tyrannical than Mwalimu, ambae alikuwa ana uzito na kuheshimika dunia nzima. Mbunge asingeweza kumuita Nyerere dhaifu bila kukamatwa. Kina Lugakingira walikuwa wanawa release wafungwa wa Nyerere no less.

Hawa majaji wa sasa wengine wameanza kazi Magufuli yuko shule, lakini wanamuogopa. Chande Othman, kwa mfano, hana deni la fadhila ya kumlipa Magufuli, angeweza ku afford kuwa mtu huru. Lakini hawa hawafanyi kazi kwa wito na misingi. Kina Lugakingira, Mwalasunya, Nyalali, walikuwa na wito na misingi.
 
Njaa mbaya mkuu...zamani ulikuwa ukifukuzwa kazi unarudi kijijini unakuta ndizi za kuiva zinaliwa na ndege shambani....sikuizi maisha si mchezo kila mtu anamuangalia mtoa fedha mkuu ktk nchi ili aishi.
 
sioni ni sifa gani anapata LEMA kwa siasa hizi za kipuuzi na hasa kwa mtindo anaoutumia umaarufu huja wenyewe hauvutwi kwa kamba huwezi kuwa mbunge wa kila kukicha kesi na vurugu zisizo na msingi
 
Mkulu alishasema kwamba kuna mhimili mmoja "umechimbiwa chini" kuliko ile mingine (hivyo una haki zote za kudrive mihimili mingine). Inaonekana majaji wameshafungwa mikono. You can't (cut) argue with the hand that feeds you
 
Alafu ndoto za rumande nahisi huwa zinatisha, mara ukisogea mbele lazima unaguswa na vinyweleo vya kifua cha mtu ukisonga nyuma hivyo hivyo. Hakuna jaji mkuu yeyote anayeweza kuingilia sakata ili kujichafua maana hakuna nchi dunian ambayo mtu anaweza kuota juu ya kufa kwa rais alafu akashangilia na kusambaza ujumbe akaachwa hivi hivi, hivyo basi ngoja akabebe ndoo kwanza , na akitoka uko kama atabahatika kutoka, atakuwa mnyenyekevu, kwanini asijifunze siasa za ustaarabu kama, Mbowe, Lowassa na Mnyika?
Upimwe akili na uelewa ili ujue maana haki za binadamu na sheria inayomlinda MTU boya wewee MTU anatakiwa ahukumiwe kufata sheria sio kila siku rumande kasome katiba ya nchi yako
 
Alafu ndoto za rumande nahisi huwa zinatisha, mara ukisogea mbele lazima unaguswa na vinyweleo vya kifua cha mtu ukisonga nyuma hivyo hivyo. Hakuna jaji mkuu yeyote anayeweza kuingilia sakata ili kujichafua maana hakuna nchi dunian ambayo mtu anaweza kuota juu ya kufa kwa rais alafu akashangilia na kusambaza ujumbe akaachwa hivi hivi, hivyo basi ngoja akabebe ndoo kwanza , na akitoka uko kama atabahatika kutoka, atakuwa mnyenyekevu, kwanini asijifunze siasa za ustaarabu kama, Mbowe, Lowassa na Mnyika?
Nnawasiwasi hata katiba hujui rangi yake kwa nje na hujui inapage ngapi
 
Mkuu hili la Lema limekuja ili iwe wazi, eti kuna watu huwa wanasema kuna mihimili mitatu ya dola, hiyo ni nadharia tu, huwa ninacheka eti mtu akisema iko huru. Sasa kwa hiki kinachoendelea ndio kimeonyesha mahakama haiko huru kama ambavyo huwa tunaaminishwa jambo huwa tunapinga kwa kila hali. Hili halinishangazi sana kwani hiyo ndio namna watawala wa kiafrika hujisikia kweli wako madarakani.
Kwan hujui au ulikuwa unasikia OK ki uhalisia iko guru tena huru but kimaamuz hapo ndipo in tegemez toka kwa wenye saut
 
Mboga Ya Nyapara Hiyo, Acha Nyampala Waenjoi Maisha - Kiboga Cha Lema Chaliwa Mubashara Kisongo
Ur banned for sure akil haipo ukae japo 2 day utajifunza sheria na haki zikoje vinginevyo hutakuwa na akil had unakufa
 
MIGNON
Uko sahihi kabisa ukiangalia kwa makini tukio ambalo limetokea jana Mahakama kutoa amri kwa Jeshi la Magereza kumfikisha Mahakamani mtuhumiwa lakini wakashindwa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani bila sababu za utagundua kwenye kesi ya Lema kuna jambo linaendelea Jaji Mkuu atakuwa anafahamu kila kinachoendelea lakini lazima watambue haki ya mtu huwa hapotei.

[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Kwasabab hawajapelekewa RC mwenye akili za kitoto toto kama LIGUMBO, Wangepelekewa lazma na wao wangekinukisha. Wakuu wao wa Mikoa wanajua nn maana ya uongozi na wanashirikiana na upinzani kwenye maendeleo, huyu gimbi yeye ni kulumbana tu na akina lema
1.So Gumbo ndio alisababisha Lema aseme kuwa ameoteshwa Magufuli atakufa ?

2.Nassari sio mbunge wa Arusha ?

2.Nassari sio mbunge wa Arusha
 
hahaha mkuu izo tabia za kushikishwa ukuta ni za baba ako tu, usidhani mze wako na ww mnavofanywa basi ni wanaume wote, hapana, hako katabia mnako kwenye familia yenu tuu, ww na baba ako. Pole sana mkuu, jitahidi uache na usimuige budda ako.
Unakimbia tabia yako ambayo kiongozi wako mbowe kakufundisha kushika UKUTA, leo unapotezea wewe si ulikuwa kiherehere kushika UKUTA sept mosi
 
Kuna jambo hatari linaendelea nchini na limejidhihirisha katika kesi ya Lema. Mhimili wa utoaji haki umekuwa inflitrated na idara nyingine ya serikali.

Tangu Ijumaa mpaka leo tunachokiona katika kesi hii kinafanya tuwe na mashaka. Jaji Mkuu ingilia jambo hili ili kulinda heshima kwa mhimili huu ambao ndio tegemeo la kupatia.Lema ahukumiwe kwa haki kwa kosa alilotenda lakini hizi figisu, zinatia mashaka.
Uto bado sana acha anyee ndoo kwanza akili itakaa sawa tu
 
Hii serikali inakoelekea huko ni kufeli tu.. wameshindwa kuwabana mafisadi eti sijui kufukua makaburi lakini kwenye ishu za masikini ndo wanaweka nguvu zao zote.. sasa kama ishu hii ya Lema na kosa alilofanya sio kupelekea nguvu zote hizo za serikali na muhimili wake.. kuna tatizo sehemu huko juu. Time will tell.
Wanaanza na kufukua la lema
 
Back
Top Bottom