Alafu ndoto za rumande nahisi huwa zinatisha, mara ukisogea mbele lazima unaguswa na vinyweleo vya kifua cha mtu ukisonga nyuma hivyo hivyo. Hakuna jaji mkuu yeyote anayeweza kuingilia sakata ili kujichafua maana hakuna nchi dunian ambayo mtu anaweza kuota juu ya kufa kwa rais alafu akashangilia na kusambaza ujumbe akaachwa hivi hivi, hivyo basi ngoja akabebe ndoo kwanza , na akitoka uko kama atabahatika kutoka, atakuwa mnyenyekevu, kwanini asijifunze siasa za ustaarabu kama, Mbowe, Lowassa na Mnyika?