Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Hebu watu ambao wanataalamu za ualimu na hesabu waje hapa ili tupate majibu sahihi kabla ya kutoa hukumu kama jaji mkuu anatakiwa kustaafu mwaka huu au mwaka ujao. Mfano kama alianza darasa la kwanza akiwa na miaka sita, msingi na sekondari na jeshi miaka 8 + 2 + 1 na chuo kikuu 4, jumla ni 21, toka 1974 mpaka leo ni miaka 38.Anatakiwa kustaafu mwakani maana atakuwa na miaka 60. Hapo ndipo Lissu alipokuwa anapasemea kuhusu tume ya kuteua majaji kama Kenya.

Kisheria anatakiwa astaafu akiwa na miaka 65.
 
jaji anaonekana ni mtu wa bata, hajawahi kuzunguka kwenye thiki hizi, asa mbona anaonekaka mzee kuliko huo umri au mwaka unaotajwa! nawafahamu watu kibao waliozaliwa miaka hiyo, tena wengine hawana maisha bomba kama yeye lakini bado wanadai. huyo anafanana na watu wa arobaini na......bana

Kuna mchangiaji mmoja katika mada hii (Andrew Nyerere), amesema alikua mwaka mmoja nyuma yake Tambaza High School na anadai hajadanganya umri.
 
Madoro inaonekana wewe ni Hakimu sasa una hasira cheo hakipandi na umehamishiwa Tandahimba!!! Pole sana kaka ndio kazi hizo

Mimi ni Mkulima wa Viazi, wala sio hakimu, ila kama sisi wakulima wa viazi tunagundua kuna Ujinga mwingi wa kuchezea katiba, halafu majaji wenyewe wanaotafsiri sheria wanashindwa kujiweka mahali pa safi, wameniudhi. Kama kuna hakimu Tandahimba apige kazi, watu haki zao zinakanyagwa kwa kuwa tuna majaji vihiyo
 
Rashid Othman unayemesema weweni Mkuu wa Usalama wa Taifa. Hapana,huyo siyo Otham Chande. Huyu Rashid Othan ni 'black' man. Hawa Chandes ni 'white'
Yaani,thisiswhat has happened. Katika kumtambulisha huyu Jaji,jina lake na jina la kaka yake yameunganishwa. Ambayo mimi nafikiria ni distraction,inaweza kuwa distraction kwa wale ambao wanadhania lile siyo jina lake.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Amedanganya kwa kuitwa Mohamed Othman Chande wakati yeye ni Mohamed Chande. Othman ni jina la kaka yake.

Kama inafikia Jaji Mkuu anasepa ili aikamue nchi mmm, basi tuna kazi pevu, hili swala halihitaji utani lazima atokee aeeleze ukweli huu utata. Mkuu Andrew asante saana kwa kutumbua jibu
 
Amedanganya kwa kuitwa Mohamed Othman Chande wakati yeye ni Mohamed Chande. Othman ni jina la kaka yake.

Andrew,
Na mimi nimesoma Tambaza na akina Kleist. Nimesoma na wote Othman Othman Chande na Mohammed Chande. Nadhani Othman ni jina lao la ukoo. Kwa hiyo yeye tulimfahamu kama Mohammed Othman na kaka yake Othman Othman. Hakuna contradiction hapo.
 
Sasa mbona hapa mnazua utata mwingine je na huyo kaka mtu naye si bado ni director kwenye moja ya institution? Ama na yeye umri wa kustaafu ni kama wa mdogo wake hiyo miaka 65? Naomba kueleweshwa maana hapa ni kama unatazama kioo na mara unashangaa unaona sura ambayo siyo ile uliyozoea kuiona kuwa ni wewe si utakuwa chizi? Nchi yangu Tanzania nakulilia mama yangu maana karibu kila mtu kakengeuka na kuukana ukweli!
 
Andrew,
Na mimi nimesoma Tambaza na akina Kleist. Nimesoma na wote Othman Othman Chande na Mohammed Chande. Nadhani Othman ni jina lao la ukoo. Kwa hiyo yeye tulimfahamu kama Mohammed Othman na kaka yake Othman Othman. Hakuna contradiction hapo.

Sasa Jasusi kumbe wewe ni realiable source kwanini usiondoe utata hapa watu wapate amani ndani ya mioyo yao? Maswali yangu kwako please; huyo kaka yake ndiyo huyo ambaye ni director ya institution inayotajwa kuwa ndugu wa jaji yupo? Je kwakua wewe ki-umri unanizidi na lazima kutokana na wasomi kuwa wachache enzi hizo system unaifahamu na ilivyo evolve je na hiyo taasisi umri wa kustaafu ni sawa na majaji kama na kaka naye bado hajachia ngazi?

Please nyie wenye kweli mungekuwa mna clarify mambo hapa kabla watu hatuja hamanika mngetusaidia sana. Ama umeshafanya hivyo?
 
- KATIKA KUHAKIKISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WANAKUWA HURU BILA KUTISHIWA NA BUNGE AU EXECUTIVE BRANCH, WENZETU USA MAJAJI WAO NI WA KUDUMU MPAKA WAKICHOKA WENYEWE AU WAKIFA!!

- MATOKEO YAKE NI HAKI MAHAKAMANI HAKUNA CHA SERIKALI WALA TAJIRI, HAKI KWANZA!!, SISI BADALA YA KULILIA QUALITY TUNALILIA UMRI WA JAJI?

Le Mutuz!!

Nimeurahi kukuona Le Big Show mutu ya watu aka Le Mutuz
 
naipenda jf mpaka basi,kuna wale wenye mapenzi ya dhati na nchi yao na hawa wengine tunawaita wakuda,wachokonozi,lakini kuna vibaraka hawa kazi yao ni kutetea hata mavi watasema ni keki,lakini kuna wenye chuki waliokosa au walitegemea favour lakini hawakupata wakaamua kugeukana ka mapanya
 
Sasa Jasusi kumbe wewe ni realiable source kwanini usiondoe utata hapa watu wapate amani ndani ya mioyo yao? Maswali yangu kwako please; huyo kaka yake ndiyo huyo ambaye ni director ya institution inayotajwa kuwa ndugu wa jaji yupo? Je kwakua wewe ki-umri unanizidi na lazima kutokana na wasomi kuwa wachache enzi hizo system unaifahamu na ilivyo evolve je na hiyo taasisi umri wa kustaafu ni sawa na majaji kama na kaka naye bado hajachia ngazi?

Please nyie wenye kweli mungekuwa mna clarify mambo hapa kabla watu hatuja hamanika mngetusaidia sana. Ama umeshafanya hivyo?
Ame,
Naona umenishikilia miguu, kama wasemavyo wazungu, "holding my feet to the fire." Kaka yake Mohammed, Othman Othman yuko chuo kikuu. Katika familia yake walikuwa watoto watatu wa kiume. Yule Othman wa Usalama wa Taifa, ambaye ni mdogo kiumri kulinganishwa na Mohammed, si ndugu wa kuzaliwa. Nadhani ni jina tu, kama alivyosema Andrew, yule jamaa wa usalama ni mweusi ti wakati hawa akina Chande ni kama Waarabu/Waajemi/Wahindi. Kwa kweli sijui asili yao maana enzi hizo tulikuwa hatuulizani makabila au asili ya mtu. Kwa hiyo ninasema hapa, na niliwahi kusema hapa JF kuwa Othman wa usalama wa taifa hawana undugu wa kuzaliwa na Mohammed Othman, jaji mkuu wetu. Baada ya kusema hilo nadhani niongeze kuwa umri wa kustaafu utumishi serikalini umebadilishwa miaka ya karibuni. Zamani watu wakistaafu unapofikia 55, baadaye wakaongeza hadi 60. Having said that, Othman wa usalama wa taifa is much younger than Othman, chief justice. I hope nimejibu maswali yako yote.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom